makwagejo
JF-Expert Member
- Nov 25, 2019
- 361
- 267
- Thread starter
- #41
asanteEndeleeni kuongea kikasuku, mungu wenu jiwe keshaanza kuiita nchi yake kuwa "ni nchi masikini" wakati a few months ago alikuwa anaitangazia dunia kuwa nchi yake ni tajiri (ndio maana ananunua ndege "cash". Kiko wapi sasa?
Subiri kidogo - nakupa miezi 4 tu - mungu wenu ataanza kulia lia hadharani akiwapigia magoti warudi wale waliofunga biashara. Subiri ukose hata buku 7 unazopewa ili akili ikurudie (assuming unayo hata akili yenyewe).
Sent using Jamii Forums mobile app