Faith is lost in the system and the government faced fiscal financial problems

Endeleeni kuongea kikasuku, mungu wenu jiwe keshaanza kuiita nchi yake kuwa "ni nchi masikini" wakati a few months ago alikuwa anaitangazia dunia kuwa nchi yake ni tajiri (ndio maana ananunua ndege "cash". Kiko wapi sasa?

Subiri kidogo - nakupa miezi 4 tu - mungu wenu ataanza kulia lia hadharani akiwapigia magoti warudi wale waliofunga biashara. Subiri ukose hata buku 7 unazopewa ili akili ikurudie (assuming unayo hata akili yenyewe).
asante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nitamsifu tuu JPM kwa uthubutu wake. Kama angekimbilia lockdown, kwa watu masikini ka wa Tz. Sijui leo tungelikuwa wapi. B/up sana JPM. Nitakupenda tuuu kwa hili
 
Who is this idiot? Familia yako haijapata pigo la COVID-19 ungefunga hilo domo kaya
Tanzania tumekuwa tukitumaini serikali yetu kwa kiwango cha juu sana,huku wengine wakituaminisha serikali inandimi mbili jambo hili limetukosesha imani sisi tunaomuunga mkono mh rais,nilimsikia mh rais akihutubia kuwa viongozi wamekuwa waongo na uzushi mtu kuwa covid 19,inakufa kwa kunyunyuza,wengine walikanusha covid 19 haifi kwa kujivukisha,lakini mh rais amesema wazi kuwa covid inawezekana watu kupona kwa kujivukisha,serikali inakosa kuwa na kauli moja,inafika hatua unapulizia kwenye vyumba na nyumba za watu,inawezekana alieagiza kupulizia hatuna uhakika kuwa mtu huyu alipulizia nini vyombo vichuguze,hili jambo halina afya sana kwenye serikali yetu,ni vyema viongozi mtafakali sna jambo hili.

•Maandalizi ya serikali kuingia kwenye mkenge wa fiscal financial problems,mh rais alisisitiza hatafungia majiji shughuli za watu,hapa amesema ukweli,huwezi kufungia jiji la dar,mwanza,mbeya,arusha,nk utawalisha nini watanzania,je mishahara italipwa na nani ya watumishi pamoja na jeshi linalolinda mipaka ya nchi?walimu nk maana utajitafutia kufunga ofisi za serikali na serikali kukosa kulipa mishahara vyombo vya ulinzi na usalama wa nchi,utamwambia mtu alinde nchi familia yake inanjaa?hapo utagundua watu walitaka kutumia mwanya huu kuleta crisis isiyokuwa ya lazima katika nchi yetu,asante baba magufuri,

•The rise of incompetent leadership,kuwepo kwa viongozi ambao hawana uwezo wa kuongoza kazi yao ni kukurupuka tu,rais amesema viongozi hawatoi taarifa za watu waliopona wamebaki kutoa takwimu ambazo za watu wanaopata maambukizi tu,wengine wanatia hofu wananchi hii siyo sawa kabisa,jambo ambalo picha yake ni kudhoofisha utawala wa jpm,hili jambo litatughalimu watanzania,

•At least one class is in the rise of economy that demand power and authority,hii inajionesha wazi katika brittonwood institution,zinataka nchi za kiafrika kutegemea world bank,na world bank ni mabingwa wakupandikiza wa afrika wenzetu, kutugawa kwa kutumia fedha chafu na kutudhoofisha kwa mwamvuli wa umaskini na democrasia,eti tukope fedha kwa lipi?sasa jama hii ikitokea mtu anafedha kama za edo 2015 nchi anachukua ki urahisi kabisa.

•Wapinzani wanajua ukifanya lockdown,utashindwa kuiendesha serikali na utashindwa kulipa hadi mishahara,na wengine wamesha sema walimu wa private walipwe kwa fedha ya mifuko ya hifadhi,itakuaje kwa wanajeshi na majeshi yetu,?itakuaje kwa madaktari,?walimu,mahakimu,wabunge,je wakulima?kwa hiyo kamwe jpm usiingie mkenge kwa kufanya hivyo vinginevyo utaingia hatua ya pili ya kupinduliwa serikali yako inayoitwa CRISS•

SITAFUTI CHEO ISIPOKUWA NIMESEMA YA MOYONI CHEO NI DHAMANA NITASEMA KWELI DAIMA FITNA KWANGU MWIKO,BORA KULINDA UTAWALA NA AMANI YA NCHI KULIKO KUWA MBWA MWENYE MKUFU SHINGONI AKIFURAHIA MAKOMBO YA BOSI WAKE,HERI YA MBWA MWITU MSITUNI AJITAFUTIAE CHAKULA CHAKE MWENYEWE,TUILINDE SERIKALI YETU NA AMANI YA NCHI YETU.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Endeleeni kuongea kikasuku, mungu wenu jiwe keshaanza kuiita nchi yake kuwa "ni nchi masikini" wakati a few months ago alikuwa anaitangazia dunia kuwa nchi yake ni tajiri (ndio maana ananunua ndege "cash". Kiko wapi sasa?

Subiri kidogo - nakupa miezi 4 tu - mungu wenu ataanza kulia lia hadharani akiwapigia magoti warudi wale waliofunga biashara. Subiri ukose hata buku 7 unazopewa ili akili ikurudie (assuming unayo hata akili yenyewe).
Mkuu, hata angelikuwa ni Mbowe ama Lisu hata wewe pia, Kwa janga hili, unamwonea Tu Magufuli, na hata hivyo, mbona ni kila Mahali nchi za Kiafrica zinalia na hata huko unakokuamini zaidi, ulaya nako ni kilio cha Uchumi kinasikika,

Na kingine, unavyotaka kuonyesha kumchukia Magu, ni kana kwamba yeye kaleta Corona, mkuu sio haki,
 
Mkuu, hata angelikuwa ni Mbowe ama Lisu hata wewe pia, Kwa janga hili, unamwonea Tu Magufuli, na hata hivyo, mbona ni kila Mahali nchi za Kiafrica zinalia na hata huko unakokuamini zaidi, ulaya nako ni kilio cha Uchumi kinasikika,

Na kingine, unavyotaka kuonyesha kumchukia Magu, ni kana kwamba yeye kaleta Corona, mkuu sio haki,

Soma vizuri ulichoandika hapa halafu uniambie kina uhusiano gani na nilichoandika mimi.
Kwa ufupi niliandika hivi (nikimjibu huyo - sijui kama na wewe ni mataga mwenzake):
1. Kutokuwa na sera ambazo ni pro- business kumechangia kuua uchumi wa nchi hii (maana biashara zilizokuwa zinalipa kodi).
2. Kitendo cha Magufuli kuitangazia jumuiya ya kimataifa kuwa nchi yake ni tajiri kulimuondolea uhalali wa yeye kusema nchi yake hii hii sasa ihesabike kuwa ni masikini. Na ndio maana Tanzania haimo kwenye nchi 25 zilizopita nafuu ya kutolipa madeni ili pesa zinazotumika kulipia madeni zitumike kwenye kupambana na COVID 19 - kitu ambacho amekiomba juzi.

My take? Magufuli amejipiga risasi miguu yake yote wakati anataka kupanda mlima wa mawe yenye utelezi. Ila ugonjwa (na aliuita "ka-ugonjwa" remember?) utampa kisingizio cha miradi yake yote kushindwa na kukosa pesa za kuendesha serikali. NARUDIA; miezi 4 tu ijayo utamsikia anawapigia magoti aliokuwa anawakashfu miezi michache iliyopita.
 
Back
Top Bottom