Faith is lost in the system and the government faced fiscal financial problems

makwagejo

JF-Expert Member
Nov 25, 2019
278
250
Tanzania tumekuwa tukitumaini serikali yetu kwa kiwango cha juu sana,huku wengine wakituaminisha serikali inandimi mbili jambo hili limetukosesha imani sisi tunaomuunga mkono mh rais,nilimsikia mh rais akihutubia kuwa viongozi wamekuwa waongo na uzushi mtu kuwa covid 19,inakufa kwa kunyunyuza,wengine walikanusha covid 19 haifi kwa kujivukisha,lakini mh rais amesema wazi kuwa covid inawezekana watu kupona kwa kujivukisha,serikali inakosa kuwa na kauli moja,inafika hatua unapulizia kwenye vyumba na nyumba za watu,inawezekana alieagiza kupulizia hatuna uhakika kuwa mtu huyu alipulizia nini vyombo vichuguze,hili jambo halina afya sana kwenye serikali yetu,ni vyema viongozi mtafakali sna jambo hili.

•Maandalizi ya serikali kuingia kwenye mkenge wa fiscal financial problems,mh rais alisisitiza hatafungia majiji shughuli za watu,hapa amesema ukweli,huwezi kufungia jiji la dar,mwanza,mbeya,arusha,nk utawalisha nini watanzania,je mishahara italipwa na nani ya watumishi pamoja na jeshi linalolinda mipaka ya nchi?walimu nk maana utajitafutia kufunga ofisi za serikali na serikali kukosa kulipa mishahara vyombo vya ulinzi na usalama wa nchi,utamwambia mtu alinde nchi familia yake inanjaa?hapo utagundua watu walitaka kutumia mwanya huu kuleta crisis isiyokuwa ya lazima katika nchi yetu,asante baba magufuri,

•The rise of incompetent leadership,kuwepo kwa viongozi ambao hawana uwezo wa kuongoza kazi yao ni kukurupuka tu,rais amesema viongozi hawatoi taarifa za watu waliopona wamebaki kutoa takwimu ambazo za watu wanaopata maambukizi tu,wengine wanatia hofu wananchi hii siyo sawa kabisa,jambo ambalo picha yake ni kudhoofisha utawala wa jpm,hili jambo litatughalimu watanzania,

•At least one class is in the rise of economy that demand power and authority,hii inajionesha wazi katika brittonwood institution,zinataka nchi za kiafrika kutegemea world bank,na world bank ni mabingwa wakupandikiza wa afrika wenzetu, kutugawa kwa kutumia fedha chafu na kutudhoofisha kwa mwamvuli wa umaskini na democrasia,eti tukope fedha kwa lipi?sasa jama hii ikitokea mtu anafedha kama za edo 2015 nchi anachukua ki urahisi kabisa.

•Wapinzani wanajua ukifanya lockdown,utashindwa kuiendesha serikali na utashindwa kulipa hadi mishahara,na wengine wamesha sema walimu wa private walipwe kwa fedha ya mifuko ya hifadhi,itakuaje kwa wanajeshi na majeshi yetu,?itakuaje kwa madaktari,?walimu,mahakimu,wabunge,je wakulima?kwa hiyo kamwe jpm usiingie mkenge kwa kufanya hivyo vinginevyo utaingia hatua ya pili ya kupinduliwa serikali yako inayoitwa CRISS•

SITAFUTI CHEO ISIPOKUWA NIMESEMA YA MOYONI CHEO NI DHAMANA NITASEMA KWELI DAIMA FITNA KWANGU MWIKO,BORA KULINDA UTAWALA NA AMANI YA NCHI KULIKO KUWA MBWA MWENYE MKUFU SHINGONI AKIFURAHIA MAKOMBO YA BOSI WAKE,HERI YA MBWA MWITU MSITUNI AJITAFUTIAE CHAKULA CHAKE MWENYEWE,TUILINDE SERIKALI YETU NA AMANI YA NCHI YETU.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Janjaweed

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
11,014
2,000
•faith is lost in the system and the government faced fiscal financial problems,

tz tumekuwa tukitumaini serikali yetu kwa kiwango cha juu sana,huku wengine wakituaminisha serikali inandimi mbili jambo hili limetukosesha imani sisi tunaomuunga mkono mh rais,nilimsikia mh rais akihutubia kuwa viongozi wamekuwa waongo na uzushi mtu kuwa covid 19,inakufa kwa kunyunyuza,wengine walikanusha covid 19 haifi kwa kujivukisha,lakini mh rais amesema wazi kuwa covid inawezekana watu kupona kwa kujivukisha,serikali inakosa kuwa na kauli moja,inafika hatua unapulizia kwenye vyumba na nyumba za watu,inawezekana alieagiza kupulizia hatuna uhakika kuwa mtu huyu alipulizia nini vyombo vichuguze,hili jambo halina afya sana kwenye serikali yetu,ni vyema viongozi mtafakali sna jambo hili.

•maandalizi ya serikali kuingia kwenye mkenge wa fiscal financial problems,mh rais alisisitiza hatafungia majiji shughuli za watu,hapa amesema ukweli,huwezi kufungia jiji la dar,mwanza,mbeya,arusha,nk utawalisha nini watanzania,je mishahara italipwa na nani ya watumishi pamoja na jeshi linalolinda mipaka ya nchi?walimu nk maana utajitafutia kufunga ofisi za serikali na serikali kukosa kulipa mishahara vyombo vya ulinzi na usalama wa nchi,utamwambia mtu alinde nchi familia yake inanjaa?hapo utagundua watu walitaka kutumia mwanya huu kuleta crisis isiyokuwa ya lazima katika nchi yetu,asante baba magufuri,

•the rise of incompetent leadership,kuwepo kwa viongozi ambao hawana uwezo wa kuongoza kazi yao ni kukurupuka tu,rais amesema viongozi hawatoi taarifa za watu waliopona wamebaki kutoa takwimu ambazo za watu wanaopata maambukizi tu,wengine wanatia hofu wananchi hii siyo sawa kabisa,jambo ambalo picha yake ni kudhoofisha utawala wa jpm,hili jambo litatughalimu watanzania,

•at least one class is in the rise of economy that demand power and authority,hii inajionesha wazi katika brittonwood institution,zinataka nchi za kiafrika kutegemea world bank,na world bank ni mabingwa wakupandikiza wa afrika wenzetu, kutugawa kwa kutumia fedha chafu na kutudhoofisha kwa mwamvuli wa umaskini na democrasia,eti tukope fedha kwa lipi?sasa jama hii ikitokea mtu anafedha kama za edo 2015 nchi anachukua ki urahisi kabisa.

•wapinzani wanajua ukifanya lockdown,utashindwa kuiendesha serikali na utashindwa kulipa hadi mishahara,na wengine wamesha sema walimu wa private walipwe kwa fedha ya mifuko ya hifadhi,itakuaje kwa wanajeshi na majeshi yetu,?itakuaje kwa madaktari,?walimu,mahakimu,wabunge,je wakulima?kwa hiyo kamwe jpm usiingie mkenge kwa kufanya hivyo vinginevyo utaingia hatua ya pili ya kupinduliwa serikali yako inayoitwa CRISS•

Ulitaka kusema nini aisee?
 
JERUSALEMU

JF-Expert Member
Sep 19, 2012
2,930

Huu uandishi unatisha. Sentence ni ndefu no full stops!!! Jf sasa imeingiliwa.
 
mliberali

JF-Expert Member
Jul 13, 2012
8,309

Porojo nyingi tu. you are beating around the bush, sema serikali ya awamu ya 5 imefeli kwa kila kitu kabla na baada ya janga la corona -19
 
Sikh hizi Mataga mmeacha zile mbwembwe zenu za Sgr na ndege naona mmekuwa wapole mnatubembeleza tuilinde serikali, siyo tuilinde nchi, baada ya kuanza kuhisi mnaweza anguka na kupoteza, hakika corona imekuja wakati muafaka kuiumbua srrlikali ya awamu ya 5
 
DOMBWELA

JF-Expert Member
Jan 18, 2014
639
1,000
Siku miji na majiji itakapo jifunga yenyewe sijui mtakuja kutuambia nini?, maana naona mnakinzana na sayansi au asili(nature)!.
•faith is lost in the system and the government faced fiscal financial problems,

tz tumekuwa tukitumaini serikali yetu kwa kiwango cha juu sana,huku wengine wakituaminisha serikali inandimi mbili jambo hili limetukosesha imani sisi tunaomuunga mkono mh rais,nilimsikia mh rais akihutubia kuwa viongozi wamekuwa waongo na uzushi mtu kuwa covid 19,inakufa kwa kunyunyuza,wengine walikanusha covid 19 haifi kwa kujivukisha,lakini mh rais amesema wazi kuwa covid inawezekana watu kupona kwa kujivukisha,serikali inakosa kuwa na kauli moja,inafika hatua unapulizia kwenye vyumba na nyumba za watu,inawezekana alieagiza kupulizia hatuna uhakika kuwa mtu huyu alipulizia nini vyombo vichuguze,hili jambo halina afya sana kwenye serikali yetu,ni vyema viongozi mtafakali sna jambo hili.

•maandalizi ya serikali kuingia kwenye mkenge wa fiscal financial problems,mh rais alisisitiza hatafungia majiji shughuli za watu,hapa amesema ukweli,huwezi kufungia jiji la dar,mwanza,mbeya,arusha,nk utawalisha nini watanzania,je mishahara italipwa na nani ya watumishi pamoja na jeshi linalolinda mipaka ya nchi?walimu nk maana utajitafutia kufunga ofisi za serikali na serikali kukosa kulipa mishahara vyombo vya ulinzi na usalama wa nchi,utamwambia mtu alinde nchi familia yake inanjaa?hapo utagundua watu walitaka kutumia mwanya huu kuleta crisis isiyokuwa ya lazima katika nchi yetu,asante baba magufuri,

•the rise of incompetent leadership,kuwepo kwa viongozi ambao hawana uwezo wa kuongoza kazi yao ni kukurupuka tu,rais amesema viongozi hawatoi taarifa za watu waliopona wamebaki kutoa takwimu ambazo za watu wanaopata maambukizi tu,wengine wanatia hofu wananchi hii siyo sawa kabisa,jambo ambalo picha yake ni kudhoofisha utawala wa jpm,hili jambo litatughalimu watanzania,

•at least one class is in the rise of economy that demand power and authority,hii inajionesha wazi katika brittonwood institution,zinataka nchi za kiafrika kutegemea world bank,na world bank ni mabingwa wakupandikiza wa afrika wenzetu, kutugawa kwa kutumia fedha chafu na kutudhoofisha kwa mwamvuli wa umaskini na democrasia,eti tukope fedha kwa lipi?sasa jama hii ikitokea mtu anafedha kama za edo 2015 nchi anachukua ki urahisi kabisa.

•wapinzani wanajua ukifanya lockdown,utashindwa kuiendesha serikali na utashindwa kulipa hadi mishahara,na wengine wamesha sema walimu wa private walipwe kwa fedha ya mifuko ya hifadhi,itakuaje kwa wanajeshi na majeshi yetu,?itakuaje kwa madaktari,?walimu,mahakimu,wabunge,je wakulima?kwa hiyo kamwe jpm usiingie mkenge kwa kufanya hivyo vinginevyo utaingia hatua ya pili ya kupinduliwa serikali yako inayoitwa CRISS•

SITAFUTI CHEO ISIPOKUWA NIMESEMA YA MOYONI CHEO NI DHAMANA NITASEMA KWELI DAIMA FITNA KWANGU MWIKO,BORA KULINDA UTAWALA NA AMANI YA NCHI KULIKO KUWA MBWA MWENYE MKUFU SHINGONI AKIFURAHIA MAKOMBO YA BOSI WAKE,HERI YA MBWA MWITU MSITUNI AJITAFUTIAE CHAKULA CHAKE MWENYEWE,TUILINDE SERIKALI YETU NA AMANI YA NCHI YETU.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
51,335
2,000
Crap!

Mifuko ya jamii si mlishakopa pesa kibao.. huko hakuna kitu. Kiufupi nchi mmeishindwa mkishashiba nyinyi basi. No vision no plan.
As for now utapata kodi kutoka wapi? Utalii umekufa, hotels zimefungwa. Maduka also in kkoo yanajifunga yenyewe pple are scared.

Labda; mtapata kodi kwenye mauzo ya sanitizers na barakoa
•faith is lost in the system and the government faced fiscal financial problems,

tz tumekuwa tukitumaini serikali yetu kwa kiwango cha juu sana,huku wengine wakituaminisha serikali inandimi mbili jambo hili limetukosesha imani sisi tunaomuunga mkono mh rais,nilimsikia mh rais akihutubia kuwa viongozi wamekuwa waongo na uzushi mtu kuwa covid 19,inakufa kwa kunyunyuza,wengine walikanusha covid 19 haifi kwa kujivukisha,lakini mh rais amesema wazi kuwa covid inawezekana watu kupona kwa kujivukisha,serikali inakosa kuwa na kauli moja,inafika hatua unapulizia kwenye vyumba na nyumba za watu,inawezekana alieagiza kupulizia hatuna uhakika kuwa mtu huyu alipulizia nini vyombo vichuguze,hili jambo halina afya sana kwenye serikali yetu,ni vyema viongozi mtafakali sna jambo hili.

•maandalizi ya serikali kuingia kwenye mkenge wa fiscal financial problems,mh rais alisisitiza hatafungia majiji shughuli za watu,hapa amesema ukweli,huwezi kufungia jiji la dar,mwanza,mbeya,arusha,nk utawalisha nini watanzania,je mishahara italipwa na nani ya watumishi pamoja na jeshi linalolinda mipaka ya nchi?walimu nk maana utajitafutia kufunga ofisi za serikali na serikali kukosa kulipa mishahara vyombo vya ulinzi na usalama wa nchi,utamwambia mtu alinde nchi familia yake inanjaa?hapo utagundua watu walitaka kutumia mwanya huu kuleta crisis isiyokuwa ya lazima katika nchi yetu,asante baba magufuri,

•the rise of incompetent leadership,kuwepo kwa viongozi ambao hawana uwezo wa kuongoza kazi yao ni kukurupuka tu,rais amesema viongozi hawatoi taarifa za watu waliopona wamebaki kutoa takwimu ambazo za watu wanaopata maambukizi tu,wengine wanatia hofu wananchi hii siyo sawa kabisa,jambo ambalo picha yake ni kudhoofisha utawala wa jpm,hili jambo litatughalimu watanzania,

•at least one class is in the rise of economy that demand power and authority,hii inajionesha wazi katika brittonwood institution,zinataka nchi za kiafrika kutegemea world bank,na world bank ni mabingwa wakupandikiza wa afrika wenzetu, kutugawa kwa kutumia fedha chafu na kutudhoofisha kwa mwamvuli wa umaskini na democrasia,eti tukope fedha kwa lipi?sasa jama hii ikitokea mtu anafedha kama za edo 2015 nchi anachukua ki urahisi kabisa.

•wapinzani wanajua ukifanya lockdown,utashindwa kuiendesha serikali na utashindwa kulipa hadi mishahara,na wengine wamesha sema walimu wa private walipwe kwa fedha ya mifuko ya hifadhi,itakuaje kwa wanajeshi na majeshi yetu,?itakuaje kwa madaktari,?walimu,mahakimu,wabunge,je wakulima?kwa hiyo kamwe jpm usiingie mkenge kwa kufanya hivyo vinginevyo utaingia hatua ya pili ya kupinduliwa serikali yako inayoitwa CRISS•

SITAFUTI CHEO ISIPOKUWA NIMESEMA YA MOYONI CHEO NI DHAMANA NITASEMA KWELI DAIMA FITNA KWANGU MWIKO,BORA KULINDA UTAWALA NA AMANI YA NCHI KULIKO KUWA MBWA MWENYE MKUFU SHINGONI AKIFURAHIA MAKOMBO YA BOSI WAKE,HERI YA MBWA MWITU MSITUNI AJITAFUTIAE CHAKULA CHAKE MWENYEWE,TUILINDE SERIKALI YETU NA AMANI YA NCHI YETU.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
fungi6

JF-Expert Member
Nov 24, 2017
292

Ila nikweli kabisa mimi naona Mh, jpm anabusara nzuri ila inakuaje sasa kuusu ao wanaokua awapo Muunganiko na yeye?,

Apo anatakiwa arudie ile mwenendo wake wa mwanzo unatumbua weka mwingine tz wapo watu wengi wenye uchungu na nchi yao sio kuwekana kwenye vyeo kisa baba ake amesema damn, tumbua msure ukiwaacha mezani kwako ao ao watakuja kukuvalisha mnyororo uwe mla makombo yao

Sisi watz wengi tukk nyuma ako.
 
MIXOLOGIST

JF-Expert Member
Mar 1, 2016
4,722
2,000
Ni kweli Raisi anayo point, given the nature ya watu wetu, lockdown is not a plausible option. Watu wapewe elimu sahihi na wataalamu wetu wa afya na tiba ili wachukue tahadhari.Mengine tumuachie Mungu.
 
nguvu

JF-Expert Member
Jun 13, 2013
9,202
2,000
Ni kweli Raisi anayo point, given the nature ya watu wetu, lockdown is not a plausible option. Watu wapewe elimu sahihi na wataalamu wetu wa afya na tiba ili wachukue tahadhari.Mengine tumuachie Mungu.
Kweli kabisa, lakini inaonekana yeye yupo chimbo halafu sisi tuendelee na utaratibu wa kawaida huku tukichukua tahadhari, kwanini na yeye asiendelee na majukumu yake kamakawaida huku akichukua tahadhari?
 
paul sylvester

JF-Expert Member
Mar 18, 2020
2,986
2,000
Linda Sana moyo wako, Maana ndio zitokako chemichemi za uzima, usipozingatia ushauri wa wataalamu unaotolewa kujilinda na maambukizi ya Corona, Aridhi haijawahi kukataa kuhifadhi wafu!!

Mungu Ibariki Tanzania na watu wake, Amina
 
MIXOLOGIST

JF-Expert Member
Mar 1, 2016
4,722
2,000
Kweli kabisa, lakini inaonekana yeye yupo chimbo halafu sisi tuendelee na utaratibu wa kawaida huku tukichukua tahadhari, kwanini na yeye asiendelee na majukumu yake kamakawaida huku akichukua tahadhari?
Kwamba corona haiwezi kufika Chato?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom