otimbiotimbi
Senior Member
- Dec 12, 2019
- 136
- 235
Aisee hivi inakuwaje ama natakiwa kufanyaje gari yangu ina faini na namba ya leseni iliyomo kwenye faini siijui na sijui imekuwaje mpaka leseni namba hiyo ambayo siijui imeandikiwa faini kwenye gari yangu ambayo kimsingi sijawahi kumuazimisha mtu wala huko inakoonyesha gari ilipigwa faini ya spidi mi sijawahi kwenda?
Je nifanyeje?
Je nifanyeje?