Mtibwa sugar wana nafasi kubwa ya kushinda hii mechi iwe matatu au ndani ya dakika 90
zungumzieni mpira nyie,mmekalia majungu kama mabinti!!
Mbona mikia humu imepotea? Bantu lady na Makoye Matale naomba niitie hao watu warudi hapa
MEANDU !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Bora umeonyesha your true color.
Mbona mikia humu imepotea? Bantu lady na Makoye Matale naomba niitie hao watu warudi hapa
Hapigi mtu penati..ndani ya dk 5 Awadhi au Maguri atatunyaua
Huyo kocha naye vipi angemwacha tu dogo acheze hadi mwisho sijui kwa nini kamwingiza Mapunda.
Hatujui walipo Mkuu.
Simba bado hajakabidhiwa kombe...