Fainali kombe la Mapinduzi, Simba zaidi ya uijuavyo

Umelenga haswa Mkuu! Kwa jinsi nisivyoipenda Azam, ningeshangilia Mikia japo ni kwa siri sana kwa hofu ya 'wayahudi'. Simba siichukii bali ni watani wetu, kikwetu tunawaita 'Bhaphughu'.Azam naichukia absolutely, hata chapati huwa sili, juice sinywi, Azam TV siangalii na bidhaa zake zote situmii. Sasa hivi nina changamoto moja tu: sehemu ya kodi anayolipa SSB naipokea kama mshahara, natafuta ufumbuzi nitambue ni kiasi gani ili nisiwe naichukua hiyo pesa, itasaidia watoto yatima. Ni hayo tu Mkuu wangu.

Kila la heri Mtibwa Sugar a.k.a Libolo FC la Bongo.

Duh kweli changamoto, nilitaka tu nijue maana ni kweli washabiki wengi wa Yanga hawaipendi Azam hasa pale ilipochukua wachezaji wao wakati bado wanawahitaji ndo chuki iliongezeka hasa.
 
Umesoma ile post ya Mtibwa kama Masala Kulangwa?
 
Umelenga haswa Mkuu! Kwa jinsi nisivyoipenda Azam, ningeshangilia Mikia japo ni kwa siri sana kwa hofu ya 'wayahudi'. Simba siichukii bali ni watani wetu, kikwetu tunawaita 'Bhaphughu'.Azam naichukia absolutely, hata chapati huwa sili, juice sinywi, Azam TV siangalii na bidhaa zake zote situmii. Sasa hivi nina changamoto moja tu: sehemu ya kodi anayolipa SSB naipokea kama mshahara, natafuta ufumbuzi nitambue ni kiasi gani ili nisiwe naichukua hiyo pesa, itasaidia watoto yatima. Ni hayo tu Mkuu wangu.

Kila la heri Mtibwa Sugar a.k.a Libolo FC la Bongo.

Dah, Makoye Matale una maneno sana
 
Tunapeleka posa kwa mikia, toka kwa Mtibwa na sisi Yanga ndio washenga.
Tunasubiria ndoa tu.
 
dk ya 10 bado mtibwa 0-0 simba, kila la kheir mtibwa suger
 
Mtibwa wanatafuta jambo langoni kwa simba
 
Back
Top Bottom