Failure of Amina Mohamed and propaganda of French-speaking countries

Emc2

JF-Expert Member
Sep 26, 2011
16,808
16,886
Hello JF
Sijui kwanini media za kenya kwa sasa zinaeneza propaganda zenye lengo la kutugawa wa africa.

1. Wanalalamikia kuhusu eti nchi za ECOWAS zimefanya njama. Wakati ECOWAS ipo na nchi 15 tu.
Vilevile nchi za SADC zipo 15 tu, IGAD zipo 8
Member States | Economic Community of West African States(ECOWAS)

Kwanini wanataka kuleta masuala yao kwenye umoja wetu wa Africa. Nimekuwa nikisikiliza mahojiano mbalimbali yamenishangaza sana kwa hawa wenzetu, wamekuwa wakitupia lawama kwa watu wengine kana kwamba ilikuwa lazima washinde.
 
Annael sasa umerudi na hizi porojo zako!! Vipi wewe unaandika vitu vya ajabuajabu?
 
Nyerere J. k aliwaisema dhambi ya ubaguzi ni mbaya sana. Mkianza sisi Watanganyika wao Wazanzibar, haitaishia hapo ipo siku itakuwa sisi waunguja wao wapemba, sisi wanyamwezi wao Wazaramo

Ndicho kinatokea Kenya, Ukabila na Usisi unawatafuna. Sasa baaada ya ukabila kuitafuna Kenya, wanataka sasa tujiite sisi wa Afrika Mashariki, wao Wamagharibi ya Afrika.

Nchi hii ni ya Watu wabinafsi na walafi
 
We uache kuandika vitu usivyo elewa!!
 
Kwani Ilikuwa Lazima Ashinde.?
Kwani Wagombea Wenzake Walikuwa Ni TakaTaka na yeye alikuwa Dhahabu au.?

Unaona sasa!!! Kwani, lakini mbona sikuelewi? Kwani mbona unataka awe wa kushindwa? We kama hujui usemalo, kheri usiandika hapa mambo ya kipuzi
 
We unachokifanya ni uchochezi!! Mbona lakini huu uchochezi? Ahh! Wabongo mi siwaelewi kabisa!! Daah
Kha!! Wewe huoni hao jamaa zako wanavyoongea na kuwaona,west Africa kama sio waafrica?

Acheni ubaguzi wa waafrica wenzetu. Kama ameshindwa akubali kushindwa sio kuanza kulaumu eti Afrika imegawanyika!!?

Sisi TZ tunajua binadamu wote ni sawa na Africa ni moja. Nyie mnataka kutigawa waafrika kwa tamaa zenu na u puppet wenu.
 
Hata Kenya hatuna ubaguzi!! Wao na watu kama nyinyi ndio mnaleta haya mambo, we ulisikia eti Francophone hawawezi votia Anglophone? Kwanza Tanzania hamko kwa hizi group, sa sijui unalalamika nini?

Wewe unaweza sikia aje rafiki yako unayemwamini akikutoroka wakati umekabwa???

Hiyo huitwa usaliti
 
Rafiki yako nani? Mbona mnalazimisha makundi ndani ya AU? Anglophone ni nchi zipi Africa na Francophone ni zipi? Mbona mnawaza kutawaliwa tawaliwatu.
Stupid kenyans!!!!
 
Mpaka leo una mawazo yako francophone na anglophone,ww una tawaliwa na wazungu bado.Africa ni moja mbona, any can win.
Huu ukanda ukanda wa aliyeshinda ni katoka taifa gani usiupe nafasi kabisa yaan
 
Rafiki yako nani? Mbona mnalazimisha makundi ndani ya AU? Anglophone ni nchi zipi Africa na Francophone ni zipi? Mbona mnawaza kutawaliwa tawaliwatu.
Stupid kenyans!!!!

Wewe nini? Hujuweza kusikia kwamba haya mambo yanaendelea bado??? Nchi zinachaguana kulingana na lugha, wanaongea kifarasa upande mmoja, wanaongea Kingereza upande mwingine!! We unadhani nini kilichofanya Amina ashindwe?

We mwehu nini?
 
Rwanda, Burundi and Uganda have issued a joint statement explaining why they did not vote for Amina in the final round.
They heard Mwangi Kiunjuri repeatedly make the statement "I AM CHAD" and thought Kenya had withdrawn to back Chad candidate.
We learned later Kiunjuri meant to say "I AM SAD"
On behalf of East African Community, Museveni has apologized to Kenya and asked Uhuru to avoid sending delegates who speak their mother tongue during such important events!
 
Wewe nini? Hujuweza kusikia kwamba haya mambo yanaendelea bado??? Nchi zinachaguana kulingana na lugha, wanaongea kifarasa upande mmoja, wanaongea Kingereza upande mwingine!! We unadhani nini kilichofanya Amina ashindwe?

We mwehu nini?
Ndio ubaguzi huo hata kenya mnachaguana kwa makabila, jaluo chagua jaluo wenzie wanaoongea lugha moja kwa kusikilizana, kikuyu chagua kikuyu mwezie. Dhambi ya ukabila itawatafuna milele ninyi na hamiwezi kuishi kwa Amani kamwe

Mtazidi kuuana kila baada ya Uchaguzi. Kwetu watanzania, tunataka candidate bora sio bora candidate. Thats y possibly we didnt vote to Kenyan
 
Ndio hiyo madharau niliyokuwa nikisema hapa. Nyinyi wabongoni unafik tu unaowatawala.

Sielewi huu wivu wa kike ni wa nini??

Tuseme angekuwa Mtz Kenya haingemvotia!!!

Duuuh hawa watu aila gani hii!!
 
Wewe acha kulia lia. Hatupigii kura kwa sababu huyu ni jirani yangu. Tunapigia kura kwa manufaa ya africa nzima.
 
Hilo sasa ni vipi???
We mawazo yako siyaelewi,
Nini inafanya uone kwamba Amina hangekuwa wa manufaa kwa Africa?
Ulimuona wapi akifanya kazi??
 
Back
Top Bottom