Duh mbona wamemuachia sasa hawezi kuwadhuru wengine? Au alimtarget huyo tu🤔
Ni demo tuDuh mbona wamemuachia sasa hawezi kuwadhuru wengine? Au alimtarget huyo tu🤔
Alaa kumbe maonyesho muuaji gani ataua kijinga hivyo?Ila ni maonesho si ndio?
Ok nimeelewa sasa! Thank youNi demo tu
Halafu wenyewe huwa kazi yao ni kumkimbiza tu principal
Hata hivyo naona kama jamaa kachelewa sana "kudraw"😂😂
It's me Armchair general
Ok ahsanteWatakuwa wanaigiza hao...
KaribuOk ahsante