Faidika mapesa ya bure | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Faidika mapesa ya bure

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Logo, Jan 26, 2011.

 1. Logo

  Logo JF-Expert Member

  #1
  Jan 26, 2011
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 588
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kuna kijana mtaalamu sana wa masuala ya media anaweza kukingizia kipato cha juu sana hasa kama una radio ukimwajiri! Waajiri na wenye radio tuwasiliane ni mtaalamu sana wa ubunifu wa vipindi vya business, na aina yote ya vipindi vya radio ana uwezo mkubwa pia katika kutengeneza schedule mpya za radio. Kamata hii kijana isiponyoke! Anafanyakazi hizi:-
  1. Presenter
  2. Ana knowledge kubwa ya computer hadi huwa anazitengenza zenye matatizo ya kawaida.
  3. Radio Production
  4. Mwandishi wa Habari
  5. Kusoma habari, kutangaza michezo hata live boll uwanjani
  6. ana Public relation ya audience pia
  7. Research
  8. Video and TV production
  9. Sound technician
  10. Studio technician
  11. Mtaalamu wa software za radio
  12. Ni producer wa kurekodi kwaya wasanii binafsi nk
  13. Ni mwalimu mwenye cheti cha Training kutoka International communication Training Institute UK.

  Jamani yanatosha anayo mengi mno!
   
 2. jino kwa jino

  jino kwa jino JF-Expert Member

  #2
  Jan 26, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 769
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  sasa kwa nini usiende kutuma maombi yako kwa ipp na tbc na tv za rostam media group etc
   
Loading...