Faida za wenza kuomba pamoja

Faida za wenza kuomba pamoja

BilioneaPATIGOO

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2012
Posts
12,320
Reaction score
11,341
1480881879156.jpg

When you and your spouse hold hands and pray together, you are coming before God as a couple. It is not just you praying and it is not just your spouse praying, but the two of you praying together. You are united spiritually before God as a team.

You are now operating on the level that God intended for couples to operate on. You are unified, joined together as one, partners together before God. Your prayer as a couple is sweet perfume to God.

Karibuni kwa faida nyingine za wenza kuomba pamoja, na kwa wale wanaofanya hivyo karibu utuambie kuomba pamoja wewe na mwenza wako imeleta nini kati yenu au katika maisha yenu au katika ndoa/mahusiano yenu.
 
1480883162110.jpg

utaelewa na kusikia moyo wa mwenza wako wakati mpo pamoja mnaomba. Mtakabili stress zenu kwa pamoja katika level ya juu kabisa..utaonesha upendo kwa mwenza wako mkiomba pamoja...

You’ll have a softer, more forgiving heart toward each other.
 
1480884090273.jpg

Mkiomba pamoja mnazuia kuachana ama talaka...
It will lower the number of disagreements between you because you will begin to be more patient with each other, and you will begin to see things from God's point of view.
 
Huu ni uzi safi sana.

Unfortunately, me and my wife worship in different denominations. Nimejaribu kwenda kanisani kwake 5-6 times, but hakuwahi kuja kanisani kwangu. Ndoa yetu ina 5 yrs nw ila yeye amewahi kusali kanisani kwangu MARA MOJA TU....!!! Tena baada ya jana yake kugombana sana khs kutokusali pamoja. It hurts me, a lot, na nimeamua kuliacha hilo suala kma lilivyo cz nikikumbuka tulivyogombana wkt wa kulazimishana kwenda kanisan siku ile, ni bora nikaacha.

Ndoa yetu ina mtoto mmoja na mama yke amejitahidi kufanikisha awe anasali nae. Sikuona kma big deal cz I dont think kma iko poa kuanza kugombania mtoto aabudu kanisa gani.

Kuna umuhimu sana kuabudu pamoja before marriage ili kuondoa mambo kma haya. Yanatesa
 
Kama wote mnaabudu na kuamini Mungu mmoja sioni shida ya nyie kutosali pamoja. Anzisha utaratibu wa kuomba pamoja nyumbani sio kuongozana mguu kwa mguu kanisani. Anza asubuhi mnapoamka mwambie mke wangu njoo tuombe mtaendelea hivyo na mtabarikiwa.
 
Dah pole.
 
Huu ni mfano hai mzuri...
so mkuu what is happening now between the two of you..have you agree upon praying together
 
Kama wote mnaabudu na kuamini Mungu mmoja sioni shida ya nyie kutosali pamoja. Anzisha utaratibu wa kuomba pamoja nyumbani sio kuongozana mguu kwa mguu kanisani. Anza asubuhi mnapoamka mwambie mke wangu njoo tuombe mtaendelea hivyo na mtabarikiwa.
It creates a very special bond.
 
Hata kwa wale distant couples it is possible...muanze utaratibu mshangaze kwa kuanza siku moja asubuh na mapema call him/her say "honey lets pray together
Hakika siku yenu itajawa na furaha sana na zaid pamoja na umbali mtajihis you are closer than ever.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom