Uwesutanzania
JF-Expert Member
- Feb 9, 2019
- 1,603
- 1,866
- Thread starter
-
- #41
SawaMsiwaze humu wengi tu middle income,naona watu wanapata shida na haya maneno.
FUKARA; Umaskini uliotopea, (chronic level)kutoka humo ni kimbembe.
MASIKINI(MBANGAIZAJI); Mtu anayebahatisha maisha( kiswahili fasaha wanasema mtu asiye na uwakika wa chochote katika hali mbalimbali za vitu vya msingi katika maisha; elimu,ngono,chakula malazi na mavazi).
MIDDLE INCOME; Hawa kiswahili chao sikijui vizuri labda mnisaidie ila hawa ndo kundi linalofaidi hii dunia na ndo wengi( Hawa wanaweza kuwa wanapata vitu vya msingi katika maisha( elimu,ngono,chakula,malazi na mavazi) kwa wastani mpaka kwa kiwango cha juu.
MATAJIRI; Hawa ni kundi la watu wanaopata vitu vya msingi katika maisha kwa kiwango cha juu na kupitiliza.Hawa ni wachache.
Wewe na mbususu mpk mzikwe pamoja 😹Alafu umaskini raha yake huwezi sikia unaumwa magonjwa ya ajabu ajabu eti sijui cancer mara add sijui alzaimers au kisukari na presha.
Mwisho kabisa maskini tunakula mbususu kavu kavu. Hakunaga maskini anagegeda na condom hizo ni za wasomi na matajiri
Kweli kuna jamaa ni Jirani ya gu Mwislam hana kitu hata kula kwake ni shida sana.MOYO WA MASKINI NI WENYE UTULIVU
Ndio maskini hupata tabu ya mwili, ila kapewa amani ya akili na mwenye moyo mtulivu na amani.
Maskini haitaji ulinzi wa mabaunsa mlangoni kwake, wala haitaji kupima chakula kabla ya kukila. Maskini huokota tunda na kulila bila kuwaza, tena bila kuzulika.
Mkuu watu wametulia. Wewe huoni utukivu kwa sababu unazo.Hakuna faida yeyote ya kua masikini, kwanza huo utulivu unautoa wapi?
Another Truth. MARA NYINGI ANAKUWA HURU
mara nyingi anakuwa jamiiforum, mara nyingi anakuwa kijiweni kwenye vijiwe vya kawaha nk, mara nyingi hupenda kuzunguka zunguka na kuranda mitaani huku na kule na ndio wengi wao tunawaona facebook instagram na X.
Mpaka hapo tayari ushakuwa na hofu ya maisha. Sisi masikini Fikda zetu ziko huru haziwazi mavitu ya hovyo hovyo kama yako.Umaskini ni utumwa uliochangamka ,
Ni mpuuzi tu ndo ataona faida ya umaskini.
Kuna vitu vingi ukiwa maskini utavikosa na vingine utaviepuka.Mimi umasikini ulinisaidia kutokupata ngoma.Ningekuwa tajiri lazima ningeipata kwa Jane
Mbususu ndio raha ya dunia wewe.Wewe na mbususu mpk mzikwe pamoja 😹
Duh 🙄Mkuu watu wametulia. Wewe huoni utukivu kwa sababu unazo.
Mtu hana hata kazi ya maana kipato chakw chini ya laki tatu kwa mwezi ila kila mwaka anazaa
Hasara moja tu ya kuwa tajiri ni kugongewa mke tena anagongwa bure na yeye ndo anahonga. Hiyo tu ndo hasara moja ya kuwa tajiri.Ni mimi wako UWESUTANZANIA ✍️
Leo ngoja nikupe faida za UMASKINI,.
Unaambiwa katika dunia kila kitu kina hasara na faida. Hivyo kabla kufikilia kufanya unashauliwa kuanza kuangalia pande zote mbili yaani (ADVANTAGE na DESADVANTAGE ) kimombo changu changu kinaweza kisiwe sawa ni kutokana na kiwango chagu cha elimu.
Pia kama wewe ni mpambanaji na unapambana juu ya umaskini na hali ya maisha uliyonayo kwasasa basi nikutie moyo pambana sana, kwamaana FAIDA za umaskini si lolote si chochote ukilinganisha na hasara zake.
Sina sababu za kumuelezea sana maskini kwa maana maskini wenyewe mnajijua na matajiri pia mnajijua.
Faida kubwa za UMASKINI
1. MASKINI HANA SIKU YA HUKUMU
maskini ukifa umekufa, maskini haukumiwi maskini ni laana ambayo Mungu alishakupa duniani na mahangaiko yako. Kama unahisi kuwa utahukumiwa ukifa wewe sio maskini labda wale matajiri.
Maskini haambiwi atoea sadaka wala haambiwi aende kuiji makka wala haulazimishwi kwenda ibadani wewe ibada yako ni kuhangaika. Nenda kahangaike na kulipia watoto ada, nenda kahangaike na pango za nyumba nenda kahangaike na kula maswala ya kwenda kuimba ibadani waachie walio jipata, na Mungu atakuwa pamoja na wewe.
2. MASKINI HAFIRISIKI
Maskini hawazii sijui kufirisika, sijui kushuka kiuchumi,.
Maskini akipata poa akikosa poa pia.
3. MOYO WA MASKINI NI WENYE UTULIVU
Ndio maskini hupata tabu ya mwili, ila kapewa amani ya akili na mwenye moyo mtulivu na amani.
Maskini haitaji ulinzi wa mabaunsa mlangoni kwake, wala haitaji kupima chakula kabla ya kukila. Maskini huokota tunda na kulila bila kuwaza, tena bila kuzulika.
4. MARA NYINGI ANAKUWA HURU
mara nyingi anakuwa jamiiforum, mara nyingi anakuwa kijiweni kwenye vijiwe vya kawaha nk, mara nyingi hupenda kuzunguka zunguka na kuranda mitaani huku na kule na ndio wengi wao tunawaona facebook instagram na X.
5. KUNYWA POMBE ZA KIENYEJI
Kati ya vitu maskini huwa anafaidika navyo ni pombe za kienyeji, pombe ambazo zimejaa mambo mengi mazuri na yenye furaha.
6. UMASKINI HUFA JASIRI
Maskini haachi majumba makubwa , magari wala viwanja.
Huchumia tumbo lake mpaka mwisho wa pumzi yake.
Huyu ndio mwamba, anakuja kwenye dunia na kuondoka bila kuacha ushahidi. Mr silent
Hahaha acha vituko wewe labia majoraYaani ukaeka na kimombo ili utambulike kuwa tajiri.
Kiufupi tu maskini wengi huwa wanaweka maneno kwa kifupi ili kuzuia kifurushi cha sms kisienda sana.
(Mamb, vp, wapi, hom, o, sijawah,
Maneno hayo nimeyaona kwenye uandishi wako. Hii inaonekana wewe ni maskini wa kutupwa
Kwenye kugegeda kavu sio kweli maskini wengi tunatumia ndomAlafu umaskini raha yake huwezi sikia unaumwa magonjwa ya ajabu ajabu eti sijui cancer mara add sijui alzaimers au kisukari na presha.
Mwisho kabisa maskini tunakula mbususu kavu kavu. Hakunaga maskini anagegeda na condom hizo ni za wasomi na matajiri