Faida za systerms (mifumo)

Bossprota

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2015
Posts
336
Reaction score
395
Samahani wadau nahitaji kujua zaidi kuhusu mifumo mbalimbali MF human resources management system stork management system , nk nachotaka n elimu ndogo tu kuhusiana na haya masuala MF faida zakutumia hii mifumo,bei za kununua au kutengenezewa hii mifumo ambazo zinaweza zikawa n zachin kabisa nk nawasilisha
 
INASAIDIA KUWA DIGITAL ZAIDI KUEPUKA KUHIFADHI VITU AU KUMBUKUMBU MUHIMU KWENYE MAFAILI AU MAKARATASI

TUNARECORD KWENYE SYSTEM/ONLINE
 
faida kubwa ninayoifahamu ni kwamba inarahisisha kwenye kufanya kazi na kuweka kumbukumbu ra record zako.
nitaelezea kwa kutumia mfano wa HR asiye na mfumo, na yule mwenye mfumo,

inapofika mwisho wa mwezi, HR asiye na mfumo anatumia muda mwingi sana kuandaa salary slip za wafanya kazi zake, kwani inabidi aandae kila mmoja manually, na kuprint au kumtumia, pata picha ana wafanya kazi 15 tu, itamchukua muda mrefu mpaka amalize kuandaa kwa kila mtu.
kupitia hr system, process kama hiyo inakuwa inarahisiswa, na badala yake jambo ambalo lilikuwa linachukuwa effot kubwa kufanyika litakuwa simplified na kufanyika kwenye system automatically kwasababu process zote zinakuwa tayari zipo defined. mpaka hapo hr ameondokana na tabu aliyokuwa anaipata kwenye kuandaa salary slip.

hivyohivyo kwenye stock au accounting, jambo ambalo lilikuwa linafanyika manually na linachukua muda mrefu, kupitia mfumo linarahisishwa na kufanyika automatically
 
Kuna faida nyingi kulingana na nini unataka ku achieve nini kwenye system/software husika, ila kwa ujumla zina faida zifuatazo
1. Kuokoa mda wa utendaji kazi
2. Kupata taarifa/data kwa urahisi sehemu yeyote yenye uwepo wa internet
3. Usalama wa taarifa zako ni mkubwa
Kwa maelezo zaidi ya kutengenezewa software/system ya aina yoyote ile unaweza kunipm
 
Bei zake kwenye utengenezaj zikoje
 
Bei zake kwenye utengenezaj zikoje
Bei inatofautiana kulingana na requirements na functionalities zake, yaani requirements za system zinavyozidi kuwa nyingi na gharama inazidi kuongezeka, pia functionality za system zinavyozidi kuwa complex na bei inaongezeka, lakini kama sytem haina functionalities ambazo ni complex na requirements chache basi bei na bei inakuwa ya chini, ila sisi tuna system ambazo ni ready made na ni za gharama nafuu sana, karibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…