Faida za Pubic hairs katika mapenzi

Faida za Pubic hairs katika mapenzi

PAZIA 3

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Posts
1,104
Reaction score
1,924
1.Huzalisha Pheremones ie halufu nzuri ya mahaba kwa wapenzi
2.Hupunguza msuguano sehemu za siri
3. Hunasa baadhi ya bakiteria hatari wa STIs
4.Huongeza msisimuko wa mapenzi kwakuwa zina neurones nyingi
5.Hulinda kiwango cha joto sehemu za siri,ili mbegu zisiathiliwe na joto
NB:Tunza garden yako,usiikate yote mara kwa mara
 
Namba mbili tu ndo nakuelewa... Hayo mengine kwangu naona ni kama makorokocho tu...
 
Kwahiyo umepitisha mwendo Wa urasta kila sehemu.
Siyo kufuga raster,unatakiwa kuitunza bustan yako,lakini pia usitumie mashine za kunyolea za salun,usitumie spirit sehumu za siri,ile mashine inajoto kali,utaua mishipa na cells maeneo hayo,tumia mkasi,baadae usije anza kulialia pale mishe itakapoanza kufail,au kuchemka ovyo kwa ke,please,take it!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom