Ladymasa
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 877
- 335
Sikupi
Utajibeba mwaka wako huu hupati kitu hapa!
Sikupi
Kwenye parachichi..
Utajibeba mwaka wako huu hupati kitu hapa!
Utaishia kuwaona lakini hupati kitu hata kipande cha parachichi unalo hilo!
Mbona sielewi elewi, mmetumia tungo tata ama?
Umependeza umekuwa cute!
Hahahaha. Sawaa we nchokoze tuu.
Lazima nikuchokoze wewe ni wangu tu!
Hilo parachichi linaumuhimu gani jamani wadau
Ngoja na mimi ni download uchokozi..
Utakuwa umefanya vizuri!
Sawa tuu....
:smile-big: