Faida za nyanya chungu

Haha haha ahaha , tena mpige kabisa na limbwata la shuntama ili asahau kabisa kwao
umeona eeeh ndomana nataka nimpe machejo Obama hadi anamaliza urais huko marekani safari za kuja TZ zitakuwa kama anaenda chooni, chezeiya sakapal weye chotara wa................. aliyekulia kwenye shamba la ngogwe/nyanya chungu heheheee
 
kuna mmoja anazichoma kwa moto kama viazi.
Ila wanasema zinaongeza mma chini

hata mi najua hivo wangu sasa huyu anaposema zinaongeza hamu napata shaka,mi najua mma inaongezeka ata hoho ukizidicha binafsi naziogopa sana ila naona Bujibuji ananipa elimu nyingine
 
Last edited by a moderator:
Kumbeeeeeeeee
kweli usione watu wanakula nyanya chungu daily ukadhani hakuna hela ya nyama!!!!!
ahsante sana

Wewe Evelyn kweli Bukoba wanakokula ngogwe(nyanya chungu) kwa kwenda mbele hawana nguvu! Utaulizwa na mumeo utajuta akiona hii response yako!
 
Wewe Evelyn kweli Bukoba wanakokula ngogwe(nyanya chungu) kwa kwenda mbele hawana nguvu! Utaulizwa na mumeo utajuta akiona hii response yako!

Swala si kama hawana nguvu hiyo ndo siri ya urembo,
Mpende mmeo, mlishe ngongwe wewe,
Kazi kupita mnalalamika oooh, hanifikishi kabisa siku hizi, unamlisha ngogwe?
 
Back
Top Bottom