Faida za ngono ni zipi

Kaka umenitosa sana! Niko poa kabisa, habari za pande hizo!

Siwezi kukutosa Mkuu! ila wakati mwingine inakuwa ngumu kuwepo hapa kufuatilia mijadala mbali mbali, ila kuanzia sasa ili kukuhakikishia kwamba sijakutosa nitakuwa nafuatilia postings zako hapa jamvini kila hali itakaporuhusu kufanya hivyo. Kipande hii mambo shwari kabisa namshukuru Mwenyezi Mungu.
 
Kama ulivyoiruka hii thread..lol
 
Nataka kujua hivi ngono ina faida gani zaidi ya ule utamu unaosikia wakati unakojoa/kukojolewa na kuzaa. Hivi kuna faida zaidi either kiafya, akili etc.

Nataka kujua ili kama kuna faida extra ili kuwa serious la libeneke.

Thanks

ndiyo maana umeweza kuuliza...uwepo wako duniani na wa wote uwajuao na usiowajua
 
Nataka kujua hivi ngono ina faida gani zaidi ya ule utamu unaosikia wakati unakojoa/kukojolewa na kuzaa. Hivi kuna faida zaidi either kiafya, akili etc.

Nataka kujua ili kama kuna faida extra ili kuwa serious la libeneke.

Thanks

Hivi na huo RED ni raha kumbe? Na msuguano je?
 
Kisayansi ni sawa but tunapokuja kwa habari ya Kimungu tunatenda dhambi tena isiyo ya kwaida.....:mod::mod::mod::mod:
 
Nataka kujua hivi ngono ina faida gani zaidi ya ule utamu unaosikia wakati unakojoa/kukojolewa na kuzaa. Hivi kuna faida zaidi either kiafya, akili etc.

Nataka kujua ili kama kuna faida extra ili kuwa serious la libeneke.

Thanks

Unamaanisha wale wanao ........kwenye NDOMU, wenzao huondoka kapa???????????????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…