Faida za madeni mwilini

Faida za madeni mwilini

Mkuu pale utakapopelekwa polisi kwa kushindwa kulipa ndio utajua kukopa sio afya
kama hunamadeni bac huna shughuli za uzalishaji au huaminiki. kukopa kwa ajiri ya kwenda kufanya starehe ni ujinga na upumbavu. always business people wanafuatwa na madeni nyuma
 
Bora aisee basi uko kama mimi wacha hizo faida zitupite tu pembeni.
Kwani lile Deni ushalipa Dada yangu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Back
Top Bottom