Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,602
- 830,350
- Thread starter
- #21
Halafu hii ni faida ya kutovaa chupiMadhara ya kuvaa Chupi
Mada kama hii imewahi kuletwa hapa
Halafu hii ni faida ya kutovaa chupiMadhara ya kuvaa Chupi
Mada kama hii imewahi kuletwa hapa
mshana jr a.k.a chupi speshalisti. Hivi nini tofauti ya G String Na bikini?
Bikini ni two-piece swimsuit....sidiria na chupi zinazo match, g-string ni chupi ya kikamba inafunika uchi tu.![]()
![]()
![]()
bikini inaficha utupu na makalio... G-string inafichwa na utupu na makalio
ukitaka kuona uchi na makalio
![]()
![]()
ni lazima ufunue
bikini lakini ukitaka kuona g-string ni lazima ufunue uchi na makalio
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Chupi ni nini.. ?yerewiiiii........
Bora tu Trudi kwenye zama za kuvaa bukta, shimizi Na magagulo
hahaaKitaalam zaidi