Habar za weekend wana jf
Tushirikishane hapa faida za kushiriki tendo la ndoa kubwa ikiwa ni kuwezesha kupata watoto
1.Huondoa msongo wa mawazo
2.Huongeza presha ya damu
3.Huimarisha mahusiano
4.Huleta usingizi wa kutosha
5.Ni sehemu ya mazoezi
6.Huongeza nguvu ya kiume na uwezo wa kufanya tendo
7.Husaidia watu kuwa na furahaa baada ya tendo
Ndio maana watu hawaachi kwenda pm kusaka mapenzi
Siyo 100%
1. Ngono haiwezi kukuondolea msongo wa mawazo ni km wanavyosema ukinywa pombe itakuondolea msongo wa mawazo.
Swali. Ukishiriki ngono na mtu mwenye ukimwi na ww hauna inakuaje?
2. Kuhusu pressure sidhan labda ngoja nimuulize Dr
3. Inawezekana ila siyo kwa asilimia 100% ngono ni sehemu ndogo sana lkn ina umuhimu kwenye mahusiano. Kuna utofauti mkubwa sana kati ya mapenzi ya dhati na ngono. Mtu uliyempenda kwa dhati akikuacha huwezi kusema ngono ndiyo ilikufanya umpende inawezekana lkn siyo 100%
4. Inawezakana baada ya uchovu, je, km haujafikishwa kunako? Kwa ss wanaume wanawake magogo ni tabu tupu
5. Siyo kweli, ngono ni burudani na kwa ajili ya reproduction. Mazoezi unafanya uchi? Hiyo ipo kwenye category ya mapenzi.
6. Nakubali ila kuongeza nguvu za kiume mh! Nakataa sbb km hivyo basi kungekuwa hakuna mwanaume mwenye upungufu wa kiume.
7. Inawezeka ila siyo 100%.
Swali.
1.Ushawahi kufanya mapenzi, baada ya kumaliza ukajuta?
2.Km ukikutana na mwenye ukimwi inakuaje hapo?
ASANTE KWA THREAD NZURI!