Naibili
JF-Expert Member
- Jan 24, 2011
- 1,878
- 1,060
Wana MMU heshima kwenu
binafsi ningependa kujua ivi chabo ina faida gani?
kwa wasio elewa ni nini maana ya chabo, ni "kile kitendo cha kuchungulia watu wakiwa faragha."
watu ambao inasemekana wanaongoza kwa kupiga chabo ni wafanyakazi wa guest na mabeki 3

1. unajifunza vitu vipya
2. chabo ni starehe kama zilivo starehe zingine
3. unaona makosa yalipo unajua jinsi ya kuyarekebisha hivo unaongeza ujuzi n. n.k
4. unajifunza kwani mtu anamg'ang'aniwa kama LUBA kumbe ni mauno
5. kwanini watu wanazama Chumvini
6. Ice cream Corn
7. Manjonjo ya nyumba ndogo (kulia km kinanda)
8. Style