mkuu unahakika gani sijawahi
By Naibili

Wana MMU heshima kwenu

binafsi ningependa kujua ivi chabo ina faida gani?

kwa wasio elewa ni nini maana ya chabo, ni "kile kitendo cha kuchungulia watu wakiwa faragha."

watu ambao inasemekana wanaongoza kwa kupiga chabo ni wafanyakazi wa guest na mabeki 3
Mkuu ya nini kupata shida, jaribu siku moja utaona faida zake maana ni nyingi mno kuliko ukubwa wa ukurasa huu.
mavazi si utafua tu. Kuna ajali za kupiga chabo, nakumbuka niko na waskaji kadhaa, tunapita short-cut pembeni ya guest house, taa inawaka ndani, pazia limeacha upenyo tukashawishika kuchungulia japo kidogo, tukakuta mama wa mshkaji mmoja tuliokuwa nae yuko ndani na mshkaji wetu mwingine. Just imagine mtu anamuona class mate wake yuko na mama yake mzazi chumbani.
Sina uzoefu ila ni tabia mbaya saaaaaaaaaaaana, uswahilini ndiko nyumbani kwa chabo
mngeingia kwenda kumchukua na bakora juu.mavazi si utafua tu. Kuna ajali za kupiga chabo, nakumbuka niko na waskaji kadhaa, tunapita short-cut pembeni ya guest house, taa inawaka ndani, pazia limeacha upenyo tukashawishika kuchungulia japo kidogo, tukakuta mama wa mshkaji mmoja tuliokuwa nae yuko ndani na mshkaji wetu mwingine. Just imagine mtu anamuona class mate wake yuko na mama yake mzazi chumbani.
Mshkaji wetu mpaka leo bado hajasahau, anajisikia mnyonge mno, lakini hawezi kufanya chochote. Baba yake alimuachaga mama yake kitambo na yeye alikuwa anaishi na mama yake, na mama alikuwa anamuhubiria mwanae kuwa baba yake alikuwa mkorofi ndio maana wakaachana. Baada ya huo mkasa jamaa akawa mtu wa kutafakari na kuwaza mno, haswa ukizingatia baba yake hajawahi kumueleza ni kwa nini aliachana na mama yake.tupe uhondo ni nini kulifuata!!!!
Mtamchapabakora mtu ambaye mnamuamkia shikamoo kwa adabu kila siku. Kwa vile yeye hakutuona ilibidi tuendelee kujifanya kama hatujui chochote kuhusu yeye.mngeingia kwenda kumchukua na bakora juu.
Wana MMU heshima kwenu
binafsi ningependa kujua ivi chabo ina faida gani?
kwa wasio elewa ni nini maana ya chabo, ni "kile kitendo cha kuchungulia watu wakiwa faragha."
watu ambao inasemekana wanaongoza kwa kupiga chabo ni wafanyakazi wa guest na mabeki 3
Fafanua pls. Asnamkuchafua mavazi.
Kuvuta sigara, kunywa pombe, kwenda club na viwanja vya starehe ni tabia mbaya?
Siyo tabia mbaya
kuna starehe gani? wakati mpiga chabo ana wasi wasi utafikiri anaoga nje
huwezi kuijua starehe ya chabo kama hujapiga asee....!!!!!!
kupiga chabo ni raha jamani ni raha yani raha sana.