moyafricatz
JF-Expert Member
- Nov 27, 2015
- 2,905
- 4,940
```FAIDA ZA KUPATA SAP KWA MWANAFUNZI WA CHUO```
1. *Inafanya kichwa kisiwe kitupu (idle).*
Chuo hufungwa katikati ya July mpaka Nov mda huo wote mwanafunzi anakuwa mbali na vitabu, madaftali yake, kichwa hakifikrii kusoma mpaka miezi 3 na nusu kuisha kichwa kimesahau maswala ya kusoma, waswahili wanasema *an idle mind is a devil workshop*, hivyo ukiwa na SAP lazima utakuwa unasoma kujiandaa na mitihan hiyo ambapo mpaka chuo kufunguliwa kichwa chako kinakuwa standby tofauti na yule asiye na SAP.
2. *Inawakutanisha wanafunzi waliokumbukana*
Miezi 3 na nusu ni mingi sana kwa watu wanaosoma pamoja, inafika kipindi mnataman the moment mnavodiskasigi na group lako, utani, ucheshi vyote hivyo wakati wa mfungo wa chuo havipo, lakini mkiwa na SAP mtawah kuonana yaan mnakaa almost mwezi 1 na nusu mnakutana tena.
3. *SAP inaweka sawa kumbukumbu za kimasomo*
4. *Inakuweka bize kuepuka kunenepeana ovyo*
5. *Mtu mwenye SAP anauwezekano mkubwa wa kufaulu semester inayokuwa inafuata kuliko ambae hana* masomo ya semester inayofuata huwa siyo mapya kabisa topic zingine zinahitaji koneksheni na baadhi ya topics za semester iliyopita, kwa mtu mwenye SAP ni rahis kurejerea kwa kuwa SAP ni mwez wa 9 mwishoni alafu wa 11 yupo class, hivyo ni rahis kukumbuka vilivyopita.
5. *SAP inakupa morare ya kusoma kukwepa kupata SAP nyingine*
6. *Inakupa mda wa kureview na kurewind*
7. *Ni tulizo la nafsi* unapokuwa umepata SAP alafu ukaja kusap ukasapua, nafsi yako inafarijika na kukiri kuwa *kuteleza sio kuanguka*
8. *Ni funzo katika maisha* kama umepata SAP ukasapua itakufunza hata utakapokuwa mtaani unajishughulisha na shughuli fulani ikibuma hutasita kurudia tena kwa ujasiri hasa utakapokumbuka kuwa umewahi kupata SAP alafu ukasapua.
_kesho naleta faida za kucarry somo_
[emoji861][emoji861][emoji861][emoji861][emoji861][emoji861][emoji244][emoji244][emoji244][emoji244][emoji244][emoji244][emoji244][emoji244][emoji244][emoji244]