Faida za kupata SUP kwa mwanafunzi wa chuo

Faida za kupata SUP kwa mwanafunzi wa chuo

Mkuu,hiyo inaitwa September conference siyo supplementary... Uzur wa hii kitu ni kwamba mkiishaingia kwenye chumba cha mtihani ndyo mnatambuana,"kumbe na wewe umepata supp"
Halafu huwa ina fedheha kubwa sana!
 
Mkuu sap utaipenda pale uko home huna hela matokeo yanatoka umepiga sap 1 tu..

Picha linaanza huna hata nauli ya kutoka kwenu achilia mbali hela ya kula ukiwa chuoni..
Unaomba hela kwenu na nyingine unakopa kwa wana unafika chuo mwendo ni pasi ndefu tu ukiwa unasubiri SAP yako..

baada ya kumaliza sap unajikuta umebakiza week 2 mfungue chuo na kwenu ni Bukoba
Sasa unawaza utumie elf 70 kutoka morogoro hadi bukoba ili upumzike kwa week mbili au ukomae hizo week mbili chuoni na huna hela ya kula wala ya nauli.

Kama ni dem unaweza kujiuza au mwana unaweza kuwa puga (jokes)

Ndipo unaanza kuhama gheto hadi gheto kwa washkaji zako ukisubiri muda ufike chuo kifunguliwe utakula ukoko na mabaki ya vyakula hadi upauke kama nguruwe..

Baada ya hapo hizo faida za sap hutaziandika tena
Straight na imeeleweka kwa wapenda sap
 
Jamani September sio nzuri nna sup 1 tu ila sijawahi kupumua hata siku moja tangu nirudi likizo ,sina amani wala furaha nawaza somo lenyewe gumu kwa upande wangu so ukicarry ndo basi tena huwezi amini nakesha naomba daily walau Mungu afanye wepesi ichomoke
 
mimi SAP ilinifanya kuwa expert wa somo husika mpaka leo sitasahau,SAP nzuri upate moja au 2.
 
```FAIDA ZA KUPATA SAP KWA MWANAFUNZI WA CHUO```

1. *Inafanya kichwa kisiwe kitupu (idle).*
Chuo hufungwa katikati ya July mpaka Nov mda huo wote mwanafunzi anakuwa mbali na vitabu, madaftali yake, kichwa hakifikrii kusoma mpaka miezi 3 na nusu kuisha kichwa kimesahau maswala ya kusoma, waswahili wanasema *an idle mind is a devil workshop*, hivyo ukiwa na SAP lazima utakuwa unasoma kujiandaa na mitihan hiyo ambapo mpaka chuo kufunguliwa kichwa chako kinakuwa standby tofauti na yule asiye na SAP.

2. *Inawakutanisha wanafunzi waliokumbukana*
Miezi 3 na nusu ni mingi sana kwa watu wanaosoma pamoja, inafika kipindi mnataman the moment mnavodiskasigi na group lako, utani, ucheshi vyote hivyo wakati wa mfungo wa chuo havipo, lakini mkiwa na SAP mtawah kuonana yaan mnakaa almost mwezi 1 na nusu mnakutana tena.

3. *SAP inaweka sawa kumbukumbu za kimasomo*

4. *Inakuweka bize kuepuka kunenepeana ovyo*

5. *Mtu mwenye SAP anauwezekano mkubwa wa kufaulu semester inayokuwa inafuata kuliko ambae hana* masomo ya semester inayofuata huwa siyo mapya kabisa topic zingine zinahitaji koneksheni na baadhi ya topics za semester iliyopita, kwa mtu mwenye SAP ni rahis kurejerea kwa kuwa SAP ni mwez wa 9 mwishoni alafu wa 11 yupo class, hivyo ni rahis kukumbuka vilivyopita.

5. *SAP inakupa morare ya kusoma kukwepa kupata SAP nyingine*

6. *Inakupa mda wa kureview na kurewind*

7. *Ni tulizo la nafsi* unapokuwa umepata SAP alafu ukaja kusap ukasapua, nafsi yako inafarijika na kukiri kuwa *kuteleza sio kuanguka*

8. *Ni funzo katika maisha* kama umepata SAP ukasapua itakufunza hata utakapokuwa mtaani unajishughulisha na shughuli fulani ikibuma hutasita kurudia tena kwa ujasiri hasa utakapokumbuka kuwa umewahi kupata SAP alafu ukasapua.

_kesho naleta faida za kucarry somo_

[emoji861][emoji861][emoji861][emoji861][emoji861][emoji861][emoji244][emoji244][emoji244][emoji244][emoji244][emoji244][emoji244][emoji244][emoji244][emoji244]
Kama kuna faida unashauri watu wasap kwa makusudi?
 
sap ilikuwa inanipa dem mkali kila mwaka..... yaani nilikuwa naenda nalipia rum kwa warden then naenda vimbwetani. dem yeyote namkaribisha rum nampigisha msasa somo alilofeli na mbwembwe kibao Mara namtest kiss, asipo riakt nampiga gegedo.


mchezo unakuwa hivyo hadi siku ya pepa anaangalizia kwangu tunasapua fresh, na mchana huo na Usk tunagegedana tu.


wiki za kukaribia bum namkorifisha ili tutemane.

nilikuwa sipendi kuhudumia aisee
 
Watu wa sap naona mnajifariji 😁😁😁😁😁 hadi mmefungua uzi wenu
 
Raha ya sapu uwe nazo kama 5 halafu una kozi 7. Zikigoma tu unarudisha mpira kwa beki.
 
Kuna wanaotafunwa kwa ajili ya supp. Hasa na wale wanaowapiga tuition ya kusapua.
 
Acha kuwadanganya wenzio, yaani kufail ni sifa? Mkuu yaani wenzio wako likizo wanarefresh mind kwaajili ya semester nyingine ww unawaza kwenda kuchomoa? Sup haina faida yoyote
 
Back
Top Bottom