Faida za kulala uchi


mkuu mtaani kwetu, kuna nyumba iliwaka usiku, baba mwenye nyumba alitoka na koti afu chini malighafi zote wazi, aliporudiwa na akili alisema yeye alikurupuka akiwa na msuli, so hajui koti kalitoa wapi?
 
Kwa kweli hata mimi huwa napenda kulala uchi kabisaa, hata chupi ni mwiko. Jamani mwili nao unahitaji hewa. Kutwa kucha umeufunika na nguo na chupi hata usiku? Nahisi hata kiafya huruhusiwi kulala na nguo inayokubana. Ni kosa kubwa.

Unan-dindisha ujue! afu nipo klass nakula pindi!
 
Usipende kulala uchi, hebu fikiria, umekufa usiku huo, watu watakapokuja kukuamsha wakidhani labda bado umelala, ingawa hutakuwa na ufahamu wowote wakati huo ila ni muhimu kulala angalau na chupi tu au nguo za kulalia
 
sipatii picha nyuchi za ke zilivyo kama nini sijui afu analala ovyoo kama ni mkeo hukawii kumchokaa
 
Mi sijawahi kuona wala kuota lolote kati ya hayo uliyosema hivyo nashindwa kujua umeyapata wapi (speaking from experence)
 
basi mimi nipo kwenye nafasi nzuri sana aiseee,... nalala uchi yani kabisa sitaki kabisa hata chupi

Hata mimi, sipati picha ungekuwa mke wangu halafu tunaishi maeneo ya baridi ingekuwaje.
 
Popo bawa akiingia apo mtaani uje na mrejesho pia hapa
 
utuletee na hasara kama vile mwizi akiibuka ghafla
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…