Faida za kulala uchi wa mnyama

Mie hata sikumbuki Mara ya mwisho nililala na nguo lini?,Hata mchana me ni naked tuuu
 
Siku akiingia mwizi dowezi ndani kwako ndy utajuwa madhara ya kulala uchi..
Utaliwa wewe na mkeo...
 
Bhita ni bhita mura, Mkurya Isaya James Odari ananiambia huko kwao hulala chumba kimoja na mifugo, kasoma uzi wa kulala uchi, kaufanyia majaribio, katikati ya usingizi kashtuka kakuta ng'ombe anamnyonya.
 

Lala tu uchi kwani ukipakuliwa unapata hasara gani bro?acha uchoyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…