Faida za kulala uchi wa mnyama

Mwache bibi apate hewa ya oksijeni
Nilimwacha mkuu πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…sasa hivi keshakula kufuliπŸ˜œπŸ˜œπŸ§šβ€β™€οΈπŸ§šβ€β™€οΈπŸ₯‚πŸ₯‚
 
Duh mkuu mbona tunatishana aisee kumbe ndio hiko ivyo basi wengi walala uchi watakuwa wanapakuliwa sana usiku kuanzia leo silali tena uchi mana ndio tabia yangu iyoo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]hiv mkuu unajua boxers zetu za kisasa ni kama tu upo uchi au unasemaj[emoji3]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Wanaume msifate huu ushauri. Lala na nguo Ila iwe loose sana. Mwanaume ni mkuu wa ulinzi, ukisikia kishindo ni chap na silaha mkononi.
Waache wenzio walale uchi, kwani kuvaa kaptula inachukua dakika ngapi?
Na hayo matukio yanatokea mara ngapi kwa mwaka?
Miaka 5 hujawahi sikia fyoko za mwizi bado ukajilaze na nguo
 
Weeeeee....
Aseeee
Yanagusishwa na nguvu za giza?
Yani live nakwambia, mie nilianza poteza ufanisi baada ya kuanza lala uchi saingine unataka kupiga mambo hamu ipo ila mashine inanywea ukishika tako tu la mama uanze mipapaso kutafta unyevu kitu inalala ghafla.

Saingine bibie hataki kabisa yani unakuwa ugomvi mkubwa sana. Hamu inakata mood inakata unaamua kumpa mgongo pakuche usepe zako na mishe. Saingine anakubali ila anaumia tu ila still unafeel yuko wet. Ushawahi ambiwa na mkeo mdomo unanuka ikiwa unatumia sensodyne? Usiombe hio hali.
 
Wewe tangu uanze kulala uchi kuna siku umeamka mlango wa nyuma unauma?
Kama sio amini basi hizo mambo hamna n ni mastori ya town
 
Eeh mkuu, ina cost japo ukiwa hujui unaweza ona sawa tu. Mi yalishanifika! Nikaita mtumishi akatoka mbio siku ya kwanza tu ya maombi hakurudi tena.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kulikuwa na mdudu ameweka makazi mjengoni kabisa na alikuwa akimuingia beibe beibe wangu.
 
Wewe tangu uanze kulala uchi kuna siku umeamka mlango wa nyuma unauma?
Kama sio amini basi hizo mambo hamna n ni mastori ya town
Ma story ya town eeh, unless otherwise utokee jamii za waswahili au vijijini utakuwa protected na hayo mavitu toka ukiwa mdogo!

Sie tuliozaliwa mitaa ya Salender ambao hatukufungwa hata vitambaa vyeusi mkononi sishauri mtu kuji expose namna hio usiku.
 
Weee lala tu uchi pumbu zako ziwe imara[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]wasikutishe
 
Waache wenzio walale uchi, kwani kuvaa kaptula inachukua dakika ngapi?
Na hayo matukio yanatokea mara ngapi kwa mwaka?
Miaka 5 hujawahi sikia fyoko za mwizi bado ukajilaze na nguo
Sio mwizi tu hata mwanao akipiga kelele unatakiwa ufike room kwake chap. Nguo loose mbona ipo sawa tu, halafu kawaida kama umeshakuwa na familia ni impossible kulala uchi maana watoto asubuhi wanavamiaga tu chumbani kwenu, saa zingine hata usiku unashangaa binti yako kaja chumbani hataki kulala mwenyewe maana chini ya uvungu kuna mgambo anamuogopa. Labda kama watoto wako wote weshakuwa watu wazima ss unaweza lala uchi. For me, nguo loose inatosha.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]nmecheka sana had jirani kastuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…