FAIDA ZA KUISHI ............... bila mpendhi

FAIDA ZA KUISHI ............... bila mpendhi

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,579
Reaction score
161,432
FAIDA 10 ZA KUISHI BILA MPENZI
1:Unalala vizuri
2:Hujali unavyoonekana
3:Hakuna sms usiku wa manane
4:Unaweza kuongea na yeyote
5:Utaishi maisha marefu bila kubughudhiwa na
mtu
6:Utaepukana na fitina za watu
7:Utaepukana na ugomvi usio wa lazima
8:Hutakuwa mwenye kudanganyana
9:Utatulia kimawazo
10:Utajihisi uko huru kwa maamuzi yako .JARIBU
UONE.!
 
Ni kweli ila tu kama umeamua rasmi na si umetemwa au kimenuka. ha ha ha ha
Hapo unadhani kutakuwa na kulala vizuri?
maoni tu
 
FAIDA 10 ZA KUISHI BILA MPENZI
1:Unalala vizuri
2:Hujali unavyoonekana
3:Hakuna sms usiku wa manane
4:Unaweza kuongea na yeyote
5:Utaishi maisha marefu bila kubughudhiwa na
mtu
6:Utaepukana na fitina za watu
7:Utaepukana na ugomvi usio wa lazima
8:Hutakuwa mwenye kudanganyana
9:Utatulia kimawazo
10:Utajihisi uko huru kwa maamuzi yako .JARIBU
UONE.!

Hapo kwenye namba moja labda kama utakuwa umetoboa kitundu katikati ya godoro uwe unanyooshea nanii humo mpaka asubuhi...otherwise lazima ukose usingizi maana jamaa litasumbua sana na hukiwa huna uhakika wa papuchi utaumiaaaaaa
 
Everybody need a sense of belonging

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Tenaaaaa...ndio raha zenyewe ati bi shosti.

kukumbatiwa kuna raha zake!!
images
 
FAIDA 10 ZA KUISHI BILA MPENZI
1:Unalala vizuri
2:Hujali unavyoonekana
3:Hakuna sms usiku wa manane
4:Unaweza kuongea na yeyote
5:Utaishi maisha marefu bila kubughudhiwa na
mtu
6:Utaepukana na fitina za watu
7:Utaepukana na ugomvi usio wa lazima
8:Hutakuwa mwenye kudanganyana
9:Utatulia kimawazo
10:Utajihisi uko huru kwa maamuzi yako .JARIBU
UONE.!

kijana mi nimeshakuelewa!

we inaonekana ni mwaka wako wa kumi sasa unatongoza bila mafanikio!

sasa imebidi ujifariji eti kwa kutafuta faida za kuishi bila mpenzi! teh teh!

Why is life without love so hard?

Z


assume babu nae eti aishi bila mapenzi!! ghosh!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom