Malafyale
Platinum Member
- Aug 11, 2008
- 13,897
- 11,292
FAIDA 10 ZA KUISHI BILA MPENZI
1:Unalala vizuri
2:Hujali unavyoonekana
3:Hakuna sms usiku wa manane
4:Unaweza kuongea na yeyote
5:Utaishi maisha marefu bila kubughudhiwa na
mtu
6:Utaepukana na fitina za watu
7:Utaepukana na ugomvi usio wa lazima
8:Hutakuwa mwenye kudanganyana
9:Utatulia kimawazo
10:Utajihisi uko huru kwa maamuzi yako .JARIBU
UONE.!
Utapiga sana puli ktk maisha yako hadi uathiriwe kisaikolojia(Hii ni kwa mwanamme na mwanamke pia)