FAIDA ZA KUISHI ............... bila mpendhi

FAIDA ZA KUISHI ............... bila mpendhi

maeneo mengine sio rahisi kupata mbunye ya haraka hata uwe na pesa..
so ni vizuri kuwa na uhakika vinginevyo utabaki kupiga 'shikide' [puchu]
 
FAIDA 10 ZA KUISHI BILA MPENZI
1:Unalala vizuri
2:Hujali unavyoonekana
3:Hakuna sms usiku wa manane
4:Unaweza kuongea na yeyote
5:Utaishi maisha marefu bila kubughudhiwa na
mtu
6:Utaepukana na fitina za watu
7:Utaepukana na ugomvi usio wa lazima
8:Hutakuwa mwenye kudanganyana
9:Utatulia kimawazo
10:Utajihisi uko huru kwa maamuzi yako .JARIBU
UONE.!

no 3 ;5;9; hizi nina wasi nazo usipokuwa na mpenthi kwangu mimi ni stress tu mwanzo niliamini ni uhuru but baada yakuwa mwenyewe kwa muda nina stress hakuna mfano na kukasirika bila sababu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom