Faida za kugegedana hizi hapa

Faida za kugegedana hizi hapa

Parata

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2011
Posts
3,090
Reaction score
692
( FAIDA ZA
KUFANYA MAPENZI ) 1. Mwili
kukingwa na kupata mafua ya
marakwa mara kwasababu ya kinga
mwili inayopambana na maambukizi
itwayo imunoglobini A 2. Wanawake
hupata mzunguko wa hedhi
usiyobadilika badilika kwasababu ya
kupata homoni maalumu za
mwanaume zittwazo filemoni. 3.
Mwili kuwa imara kupambana na
msongo wa mawazo. 4. Kushusha
mapigo ya moyo yaliyo juu, hii
hukufanya ujiepushe na kupata
magonjwa ya moyo. 5. Kuondoa
mafuta yenye madhara mwilini na
kutengeneza mafuta yenye manufaa
mwilini. 6. Kuteneneza muonekano
mzuri wa misuli ya mapajani
namwili kwa ujumla. 7. Kuongeza
homoni ya kike itwayo istrojeni, hii
humfanya mwanamke kuwa
mrembo. 8. Huongeza uwezo wa
kutunza kumbukumbu kwenye
ubongo, kwasababu ya mzungumko
mzuri wa damu wakati wa kufanya
mapenzi 9. Huongeza morali ya kazi
na kufanya kujisikia vizuri
kimawazo.
@lara1 Bujibuji MziziMkavu ladydoctor Bishanga evensalt Mwamviga
 
Last edited by a moderator:
Yaani hii ni stress free zone! Faida za kugegedana duuuh, Nakupa Like
 
Mashaxizo sikushauri ila moyo wako uamue na ujue hasara pia zipo na ndio balaaa mkosi
 
Last edited by a moderator:
Kibibijongo thanx enzi zenu vp mlikuaje
 
Last edited by a moderator:
Mmmm huyu anahimiza watu wapulizane a.k.a waunganoihe vkojoleo.
 
Unapo encourage watu wazini kwa kutoa sababu nyiiiingi zisizo na msingi sio tu umejitolea kumsaidia shetani kazi yake bali unaweka uhasama ulio dhahiri kati yako na Mungu. watu wengi wanaanza kujamiiana kwanzia miaka ya 19 na kuendelea..je kabla ya hapo wanaishije?
 
Unapo encourage watu wazini kwa kutoa sababu nyiiiingi zisizo na msingi sio tu umejitolea kumsaidia shetani kazi yake bali unaweka uhasama ulio dhahiri kati yako na Mungu. watu wengi wanaanza kujamiiana kwanzia miaka ya 19 na kuendelea..je kabla ya hapo wanaishije?
Naunga mkono hoja
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom