Faida za Kufunga

Aida za kuala ovyo
Hasara zake

Mkuu weka msaada na hiyo tuzielewe
 
Yap that is true... Mimi na familia yangu huwa tunatibu maradhi mbali mbali kwa kufunga

Swaum ni Tiba
 
Yap that is true... Mimi na familia yangu huwa tunatibu maradhi mbali mbali kwa kufunga

Swaum ni Tiba

sio huwa mnabadili ratiba ya kula tu? alafu kuna biashara huwa zinafeli kipindi hichi mf. bia, noah, gesti je tatizo nini mkuu?
 
Mfano nimekula mihogo au viaz saa kumi usiku ..je kuna haja ya kula mchana kwel hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…