miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
Mchawi wa wanawake ni pesa full stop ata uwe na degree nyingi kama mugabe bila pesa kaz bure
uchawi wa mwanaume ni mbunye tu basi!!!
Mchawi wa wanawake ni pesa full stop ata uwe na degree nyingi kama mugabe bila pesa kaz bure
Unataka kusema ndio maana Lipumba na Slaa walifanikiwa kielimu kuliko JK....? Na kumbe ndio maana Ridhiwani ni tajiri kuliko JK....?utafiti wangu umeonyesha kua wanaume wengi waliofanikiwa katika maisha au kielimu hii imesababishwa sana na wao kua madomo zege,,wanaume wa jinsi hii hutumia muda wao mwingi sana kujibidiisha katika mambo yao ili wapate mafanikio na pia hua na imani kubwa ili waweze kuwavutia wanawake na kuwapata basi lazima wawe na mafanikio ama pesa,kwani kwao kuzungumza na mwanamke na kuonyesha hisia zao ni ngumu,,hivyo huamua kuzungumza kwa vitenda,,mafanikio yao ndio maneno ya kumvutia msichana...
kufanikiwa njie ngumu mnapata kirahisi kwa kutumia midomo,,ndio maana wengi mnaishia kua madalali wa vyumba tu,,huwezi kua engineer ama doctor,,huwezi
utafiti wangu umeonyesha kua wanaume wengi waliofanikiwa katika maisha au kielimu hii imesababishwa sana na wao kua madomo zege,,wanaume wa jinsi hii hutumia muda wao mwingi sana kujibidiisha katika mambo yao ili wapate mafanikio na pia hua na imani kubwa ili waweze kuwavutia wanawake na kuwapata basi lazima wawe na mafanikio ama pesa,kwani kwao kuzungumza na mwanamke na kuonyesha hisia zao ni ngumu,,hivyo huamua kuzungumza kwa vitenda,,mafanikio yao ndio maneno ya kumvutia msichana...