Faida za kua domozege

Faida za kua domozege

blackgold engineer

Senior Member
Joined
Sep 8, 2013
Posts
107
Reaction score
70
utafiti wangu umeonyesha kua wanaume wengi waliofanikiwa katika maisha au kielimu hii imesababishwa sana na wao kua madomo zege,,wanaume wa jinsi hii hutumia muda wao mwingi sana kujibidiisha katika mambo yao ili wapate mafanikio na pia hua na imani kubwa ili waweze kuwavutia wanawake na kuwapata basi lazima wawe na mafanikio ama pesa,kwani kwao kuzungumza na mwanamke na kuonyesha hisia zao ni ngumu,,hivyo huamua kuzungumza kwa vitenda,,mafanikio yao ndio maneno ya kumvutia msichana...
 
Ngoja nshangae kwanza hawa watoto wazuri hapa nlpo then ntarudi
 
Mimi huwa naamini kabisa kama mwanamke akikupenda wala hutumii nguvu nyingi.Unaweza ukamwambia live dada nataka uwe mpenzi wangu straight na akakuelewa kabisa labda tu atakuzungusha tu kwa kuwa ni desturi iwe hivyo.Kama kijana unajiheshimu, unafanya kazi kwa bidii mbona hupati shida kuchagua mwenzi hata kidogo.
 
utafiti wangu umeonyesha kua wanaume wengi waliofanikiwa katika maisha au kielimu hii imesababishwa sana na wao kua madomo zege,,wanaume wa jinsi hii hutumia muda wao mwingi sana kujibidiisha katika mambo yao ili wapate mafanikio na pia hua na imani kubwa ili waweze kuwavutia wanawake na kuwapata basi lazima wawe na mafanikio ama pesa,kwani kwao kuzungumza na mwanamke na kuonyesha hisia zao ni ngumu,,hivyo huamua kuzungumza kwa vitenda,,mafanikio yao ndio maneno ya kumvutia msichana...

true dis...wengi wao wamefanikiwa sana
 
Kweli mkuu wao silaha yao kubwa ndio hio, sema huwa hawakawii kuumziwa, Yeye sis zege hajui kujitetea, ila pia anawatafuna wengi kupitia mafanikio Yake
 
huwa ktk nafasi ndogo kupata miukimwi kwa vile ha-do lile tendo.Pia hudumu na pesa zake kwa vile hazina matumizi kama zangu kwani licha ya kubugia miserengeti huwa nahonga pia
 
utafiti wangu umeonyesha kua wanaume wengi waliofanikiwa katika maisha au kielimu hii imesababishwa sana na wao kua madomo zege,,wanaume wa jinsi hii hutumia muda wao mwingi sana kujibidiisha katika mambo yao ili wapate mafanikio na pia hua na imani kubwa ili waweze kuwavutia wanawake na kuwapata basi lazima wawe na mafanikio ama pesa,kwani kwao kuzungumza na mwanamke na kuonyesha hisia zao ni ngumu,,hivyo huamua kuzungumza kwa vitenda,,mafanikio yao ndio maneno ya kumvutia msichana...
hivi unafahamu kuna artificial domo zege mfano mimi hapa je nami niko kwenye kundi hilo ulilosema?

kwa kuwamegea siri tuu...check hapa under
hii mimi hutumia pale nawinda mnyama ambaye haji kwa kuitwa bali anakuja kwa curiosity yake akitaka kujua kwanini sisemi? kwa wenye kutumia deck ya sing sung wakati unawasha kuna maneno hutokea yanasomeka life is wounderful.... hureeeeeee...
 
Kwa hiyo sisi wenye kujifanya bijogoo kumbe tunajiletea matatizo ehh??
 
kufanikiwa njie ngumu mnapata kirahisi kwa kutumia midomo,,ndio maana wengi mnaishia kua madalali wa vyumba tu,,huwezi kua engineer ama doctor,,huwezi
 
Naona umeamua kujipa moyo Mhandisi, endelea tu na udomozege wako mkuu ila usiuhusishe kabisa na mafanikio. Angalia mafanikio ya kifedha yanaweza kuja at 50 hapo ndo unaweza kujikuta unaanza wanawake na starehe mwisho unaenda ulaya kwenye mabembea. Cha muhimu hapa ni kusema UDOM ZEGE sasa bhaas.
 
utafiti wangu umeonyesha kua wanaume wengi waliofanikiwa katika maisha au kielimu hii imesababishwa sana na wao kua madomo zege,,wanaume wa jinsi hii hutumia muda wao mwingi sana kujibidiisha katika mambo yao ili wapate mafanikio na pia hua na imani kubwa ili waweze kuwavutia wanawake na kuwapata basi lazima wawe na mafanikio ama pesa,kwani kwao kuzungumza na mwanamke na kuonyesha hisia zao ni ngumu,,hivyo huamua kuzungumza kwa vitenda,,mafanikio yao ndio maneno ya kumvutia msichana...

Mafanikio ya maisha tafsiri yake ni pana sana.
 
...ZEGE...lililo maji maji ama kavu kavu ama zege lilokwisha nyauka?
 
Back
Top Bottom