Mhhh Himidini iwapo hakuna tatizo lolote ndani ya ndoa na hakuna ugomvi wowote baina ya wawili hao kulala vyumba/ kitanda tofauti ni ngumu
may be iwapo kuna tofauti baina ya wanandoa kulala separate rooms/beds inawezekana
Hivi ktk hali ya kawaida wanandoa wanaweza kulala vtanda/vyumba tofauti? Nadhani hzo faida huja pale ambapo wanandoa hao wametofautiana ama kugombana.cjui kama nipo right!!
Hili la kulala kitanda kimoja limekuja karibuni tu.
Kwenye mfumo wa ndoa za wake wengi, baba mwenye mji anakuwa na banda/chumba/nyumba yake na kila mke anakuwa na banda/chumba/nyumba yake (pamoja na watoto wao wadogo). Watoto wakishakuwa nao wanakuwa na banda/chumba/nyumba yao (bweni). Ndio maisha ambayo babu yangu alikuwa akiishi.
Kwa hivyo kama trend ni kurudi tena kwa kila mtu kulala kivyake, pengine sio jambo jipya sana hasa katika tamaduni nyingi za ki-afrika.
Mi naona zoezi hili kiafya hua namsaada mkubwa zaidi kuvingilishana vingilishana mda wote nako sio kuzuri kuna maradhi ya njia za hewa!
Sasa hapo mkuu Himidini ndio unakaribisha matatizo zaidi, mi makosa ya kawaida gem moja matata tunalala burrdaaaani bila kinyongo.
ni kweli, mwanaume anakuwa na nyumba yake na hao wake zake wanapangiana zamu ya kulala na mume wao, ila wakifika huko hawalali vitanda tofauti bhana, ni mgegedo mpaka asbuhi. sasa mfano wako naona ni irrelevant na hii situation, kama angekuwa na mke mmoja je wangelala separate rooms au ni sababu wapo wengi na hawezi kulala nao wote kwa wakati mmoja!Hili la kulala kitanda kimoja limekuja karibuni tu.
Kwenye mfumo wa ndoa za wake wengi, baba mwenye mji anakuwa na banda/chumba/nyumba yake na kila mke anakuwa na banda/chumba/nyumba yake (pamoja na watoto wao wadogo). Watoto wakishakuwa nao wanakuwa na banda/chumba/nyumba yao (bweni). Ndio maisha ambayo babu yangu alikuwa akiishi.
Kwa hivyo kama trend ni kurudi tena kwa kila mtu kulala kivyake, pengine sio jambo jipya sana hasa katika tamaduni nyingi za ki-afrika.
Story za vijiweni za wale waliooa au kuolewa wanapoamua kufunguka kuhusu ndoa zao unaweza vunjika mbavu kwa kusikia mambo mbali yanayotokea ndani ya ndoa.
Mkuu,Story za vijiweni za wale waliooa au kuolewa wanapoamua kufunguka kuhusu ndoa zao unaweza vunjika mbavu kwa kusikia mambo mbali yanayotokea ndani ya ndoa.
Ungepata muda hata wa kuona vitanda au aina ya matandiko waliyokuwa wanalalia, ungeng'amua kwa urahisi tu kuwa hayakuwa kwa ajili ya kulala watu wawili kwa muda mrefu!ni kweli, mwanaume anakuwa na nyumba yake na hao wake zake wanapangiana zamu ya kulala na mume wao, ila wakifika huko hawalali vitanda tofauti bhana, ni mgegedo mpaka asbuhi. sasa mfano wako naona ni irrelevant na hii situation, kama angekuwa na mke mmoja je wangelala separate rooms au ni sababu wapo wengi na hawezi kulala nao wote kwa wakati mmoja!
Mi naona zoezi hili kiafya hua namsaada mkubwa zaidi kuvingilishana vingilishana mda wote nako sio kuzuri kuna maradhi ya njia za hewa!
Mkuu,
Kumbe umeshakutana na watu wa aina hii?
Mimi huwa nasimuliwa sana story za aina hiyo na wanaume wenzangu, lakini kimoyomoyo nacheka na kustaajabu sana. Utakuta jamaako anakwambia kuwa hawezi kushinda nyumbani siku nzima bila kumtandika makofi mkewe!!
Na wengine hufikia kusema kabisa hadi mikao wanayo'do na wake zao, na kwa bahati mbaya au nzuri mara shemeji anapita hapo hapo kijiweni. Utakuta watu wanamwangalia wee, na wengine wanapata hadi hamasa ya kumtongoza ili waongeze kiwango cha utundu!
LOL!!! Pen ilikuwa inasumbua hivyo ikaniharibia mwandiko ππ