Faida za kiafya za kujamba

Faida za kiafya za kujamba

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,037
Reaction score
34,741
FAIDA ZA KUJAMBA.jpg
 
Kujamba ok. ni kawaida kwa kila binadamu, japo wengi wanajamba wakiwa faraghani tu kwa kuhofia kujamba hadharani ni aibu. Lakini kuhusu hili la kunusa ushuzi wa mtu nadhani linahitaji ujasiri wa ziada.
 
Kuna Mzee mmoja huwa nina bahati nae mno Kupanda Daladala au Mwendokasi na ni Mzee kweli Kiumri ila anakuambia hajawahi Kuugua sijui Ugonjwa wa Moyo, Kisukari na hata hizo dalili za Saratani hana. Sasa nimeshajua nini huwa kinamsaidia na amebobea / ametukuka nacho.

Shikamooni Watafiti wa hii taarifa.
 
Mkuu mimi walau kutwa mara tatu

Kuna tafiti nyingine zilisema kwa kawaida mtu hujamba mara nyingi kwa siku hata kufikia mara 20 bila kujijua au kutoa harufu mbaya. Kwa hiyo hizo mara 3 ni zile unazojamba wakati unajitambua.
Wanasema kunauwezekano wa kujamba bila kujijua:-
-Wakati tumbo linapounguruma
-Wakati unapocheka
-Wakati unatembea n.k
 
Wana sayansi watusaidie kuvumbua filter ambayo inachuja harufu mbaya ya kijambo.
 
Dah afadhali maana niko kwenye basi na nimebana muda mrefu,sasa ngoja niuchie kimtindo...
 
Back
Top Bottom