Napendelea kahawa tu , hakuna kitu sikipendi kama sukari ya miwa kwenye maji ya moto na viungo
Asubuhi ni mnazi badala ya chai- wagosi wa kayaToka kidato cha pili ndio mara yangu ya mwisho kunywa chai🤔
Inashauriwa kuongeza asali au sukari kwenye chai hizo?
Asali kidogo the bestInashauriwa kuongeza asali au sukari kwenye chai hizo?
Asali ukiwa na ulcers kujambajamba kwingi,inaumiza tumboAsali kidogo the best
Hali huwaje?..nasikia hii husaidia kutoa uchafu kooninikishakunywa maji ya vuguvugu na punje ya kitunguu saumu/swaumu,sioni tena umuhimu wa chai kwangu.
Bonge la remedy Ila uwe unaweka na limau kukata harufu ya kitunguunikishakunywa maji ya vuguvugu na punje ya kitunguu saumu/swaumu,sioni tena umuhimu wa chai kwangu.
yawezekana sababu inasaidia vingi,ila kwamimi hunifanya mwili ku relax na hatakama nilikua sina hamu ya kula baada ya muda hupata njaa,,ila hutakiwi kujamba mbele za watu 🤢,na pia kama ni mtu wa jasho sana utanuka vitunguu kila uendako,man hupenya na kufungua vinyweleo.Hali huwaje?..nasikia hii husaidia kutoa uchafu kooni
limau niliacha niliona linaenda kunifanya kuwa Celine Dion wa tz,niltaka kua mshale kabisa.Bonge la remedy Ila uwe unaweka na limau kukata harufu ya kitunguu
Basi karafuulimau niliacha niliona linaenda kunifanya kuwa Celine Dion wa tz,niltaka kua mshale kabisa.
karafuu ilitaka kunikata bleed (mzunguko wa wadada ule),siku zilianza kupungua na pia damu zikawa zinatoka kiduchu nikaacha.Basi karafuu
Duh OK.. Mint je?karafuu ilitaka kunikata bleed (mzunguko wa wadada ule),siku zilianza kupungua na pia damu zikawa zinatoka kiduchu nikaacha.
niliko kupata ni ishu sanaDuh OK.. Mint je?
Sipati picha hilo shuzi, nuclear ya Iran ikasomeyawezekana sababu inasaidia vingi,ila kwamimi hunifanya mwili ku relax na hatakama nilikua sina hamu ya kula baada ya muda hupata njaa,,ila hutakiwi kujamba mbele za watu 🤢,na pia kama ni mtu wa jasho sana utanuka vitunguu kila uendako,man hupenya na kufungua vinyweleo.
Hahaha acha tuSipati picha hilo shuzi, nuclear ya Iran ikasome
Vizuri kila mmea ukiutumia mwenyewe labda uwe na elimu ya mimea kujua components zake ili usije tengeneza sumu mwiliniVipi nikichanganya mdalasini, tangawizi, majani ya mpera na asali kuna shida?.
Au
Nichanganye tangawizi, pilipili manga, mdalasini na asali?
Kunywa juice ya chai badala ya chaiKabisa yani sijawahi kupenda kunywa chai kabisa
Angalia usiwe na tabia za kitimoto we uoni zimeongezeeka mijiniAcha masihala na kitimoto wewe!