Faida ya maziwa mtindi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Faida ya maziwa mtindi

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Foundation, Mar 2, 2011.

 1. Foundation

  Foundation JF-Expert Member

  #1
  Mar 2, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 1,458
  Likes Received: 256
  Trophy Points: 180
  UTAFITI: FAIDA NYINGINE ZA MAZIWA AINA YA MTINDI
  Mtindi una bacteria rafikl aitwaye " LACTOBACILLUS", ambaye anafanya kazi zifuatazo:
  Hukaa kwenye UKE na utumbo , na hivyo kuteketeza wadudu waharibifu waitwao "PROBIOTICS". Husaidia mmeng'enyo wa chukula,kudhibiti vijidudu wa maradhi,kuzuia ukuaji wa bacteria wa wenye mad...hara

  MTAFITI:pROFESA NICHOLSON WA IMPERIAL UNIVERSITY HUKO UKSee More
   
 2. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #2
  Mar 2, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  'Nice piece. Nimewahi kuisoma mahala!
   
 3. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #3
  Mar 3, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  Yaani umefungua thread mbili mahala si pake?? Kweli JF kuna vituko kweli
   
Loading...