Faida ya kunywa maziwa ya ngamia

I love nyama ya ngamia... but maziwa, sijui kwa kweli.
Mkuu RussianRoulette jaribu kuyaonja maziwa ya Ngamia uutayapenda na kutoyaacha mazuri sana.

Is this a myth or a fact? If its a fact unadhani ni watu wangapi ambao wanaweza kuyapata maziwa ya ngamia?
Nasikia hapo Dar yanapatikana Mtaa wa Livingstone na Kariakoo sijuwi huko kwenu arusha yapo mkuu Young_Master? mkuu nnimekuona picha yako kwenye Facebook na jina lako je ni wewe kweli au mtu mwengine?
 
Last edited by a moderator:
Ngudu mzizi mkavu huwa nazifurahia sana comment zako na hili la leo nimeona niweke na mimi mchango wangu,hapa arusha huwa tunayapata kirahisi hayo maziwa maana yanatoka TURKANA kama ukiyapata kabla hayajawekwa "nyingi" ukawa unayaweka kwenye friji asubuhi una jog,ukimaliza unapata kikombe cha maji moto then maziwa hayo na kijiko cha asali ya nyuki wadogo.....aaaaah nadhami wale wagonjwa wako wa yale mambo yetu yale ya ndoa watakuwa wamepungua ,wengi hawajajua

Maziwa ya ngamia na Asali, ni viagra ya kiarabu komesha.

Pia kuna Viagra nyingine ya kiarabu, tende na maziwa ya ngamia au na maziwa ya mbuzi.

Mkuu RussianRoulette jaribu kuyaonja maziwa ya Ngamia uutayapenda na kutoyaacha mazuri sana.

Nasikia hapo Dar yanapatikana Mtaa wa Livingstone na Kariakoo sijuwi huko kwenu arusha yapo mkuu Young_Master? mkuu nnimekuona picha yako kwenye Facebook na jina lako je ni wewe kweli au mtu mwengine?

Inawezekana umeniona Mkuu. Kwani wewe unatumia jina gani Facebook???
 
Maziwa ya ngamia na Asali, ni viagra ya kiarabu komesha.

Pia kuna Viagra nyingine ya kiarabu, tende na maziwa ya ngamia au maziwa ya mbuzi.

Mkuu @Mahmood unatoa Dawa kabisa utayafanya hayo Maziwa ya mbuzi na Ngamia yapande Bei na hizo Tende? Wacha nakukubali ni Dawa tosha za nguvu ya kiume hayo Maziwa ya mbuzi na ngamia ukichanganya na Tende.
 
Hao watu watakao kukwambia kuwa unywe Maziwa ya nguruwe,Au Mbwa au paka watakuwa wana matatizo ya akili. Wewe unachotakiwa utumie akili yako tu ukiweza tumia hayo Maziwa ya Ngamia hukuweza acha usitumie hayo maziwaya Ngamia hakuna mtu wa kukulazimisha kutumia mkuu Samahani kama nitakukwaza.

Make It or Break It

Hujanikwaza Mzizi. Tuko pamoja - japo maziwa hayo sitayanywa.
 
Wakuu nilifika hapa somalia nikakuta maziwa na nyama ya ngamia yanapatikana kwa wingi na ni sehemu ya kawaida ya lishe yao ila mmnilivigomea kabisa. Ila kwa sasa nitajaribu kutest nyama km itakua afadhali basi nitatest na maziwa then nitawaapdate
 
@Petiro Mkuu jaribu kisha utupe feedback .
 
Hapa A town hawa wanyama wanaonekana sana pale snake park Wilayani Monduli post na na njia panda ya kwenda Monduli mjini na hata TMA & SOFA na hakika utapata bila ya kukosa!

Asante sana!! Nimewajuza tu kwn huwa siyapendi!
 
Arusha pia yanapatikana mjini mtaa wa Bondeni kuanzia saa 4 Asubuhi yanatoka Namanga. Bei sh. 3500 kwa chupa ya nusu lita. Na wateja wengi ni wasomali na waarabu....
 
Au hii inaweza kuwa sababu dada zetu wakiingia kwenye 18 za waarabu inakuwa ngumu kuwachomoa!!
 
Arusha yanapatikana Mtaa wa Bondeni mkabala na Mapinduzi restaurant. Bei ni 1500 kwa nusu lita yanatolewa Moshi.Kwa mambo ya kiume ni zaidi ya supu ya pweza.Mimi ni shahidi mzuri.Ukichanganya na tende kwenye zilizosagwa heshima itarudi. I guarantee.
 
Arusha yanapatikana Mtaa wa Bondeni mkabala na Mapinduzi restaurant. Bei ni 1500 kwa nusu lita yanatolewa Moshi.Kwa mambo ya kiume ni zaidi ya supu ya pweza.Mimi ni shahidi mzuri.Ukichanganya na tende zilizosagwa heshima itarudi. I guarantee.
 
Back
Top Bottom