faida ya kumcheat mpenzi wako

-Kufanya mahusiano yavunjike
-Kuharibu jamii
-Spreading of STDs
-Kurekebisha mpenzi wako makosa yake knowing he/she replaceable
-Unplanned/planned pregnancies
-New experiment
 
Kuna mwisho ukifika uongo huwaga unafikia kikomo. Hebu fikiria umefumaniwa utadanganya nn tena?
 
Faida kuu:

1. Kutuliza kiu ya asiye na mpenzi
2. Kuongeza uzoefu na kuleta tija ya kungonoka na mpenzi wako
3. Kuongeza list ya vikojoleo ulivyowahi kunaniliu navyo....:lock1:

rafiki huishi vituko? Hivyo vikojoleo hivyo teh teh God forbid :lock1:
 
na hii ndio faida kuu iliyo bora.....

Amesahau kama haramu zote tamu, na hasa kama umechagua kondoo aliyenona.

faida kuu:

nimeipenda namba 2 hiyo inaleta new ideas kwenye kungonoka, bila kusahau na miguno ya aina mbalimbali, vilio vya kweli na usanii!
 
kupunguza stress...
kugundua kuwa kuna wengine wanakutamani sio tu huyo mmoja
kuwa na kitu cha kusimulia wajukuu ukizeeka
kuongeza appetite ya maisha
 
rafiki huishi vituko? Hivyo vikojoleo hivyo teh teh God forbid :lock1:
Hahaha.... rafiki nimekumisi kweli. Siku hizi sikuoni kwa PM kabisa. Afu usisahau ahadi ni deni.....:crazy:

na hii ndio faida kuu iliyo bora.....

Nipigie makofi matatu basi.....

Amesahau kama haramu zote tamu, na hasa kama umechagua kondoo aliyenona.
Hehehehe Asali ya ODM bana, mwambie kabisa kuwa Raha ya mwizi kutokamatwa.....! Wizi mtamu ati....!
 
kupunguza stress...
kugundua kuwa kuna wengine wanakutamani sio tu huyo mmoja
kuwa na kitu cha kusimulia wajukuu ukizeeka
kuongeza appetite ya maisha

Kwa kuwa mpenzi wako ni mkali(MZURI)issue inakua ni kujaribu kujua na wabaya nao wanakuwaje tu thats all,hayo mengine mnajizungusha bure.
 
Faida kuu:

1. Kutuliza kiu ya asiye na mpenzi
2. Kuongeza uzoefu na kuleta tija ya kungonoka na mpenzi wako
3. Kuongeza list ya vikojoleo ulivyowahi kunaniliu navyo....:lock1:

Aisee,
Kumbe bila kucheat
sie tusio na wapenzi tungekufa kwa kiu
 
Faida kuu:

1. Kutuliza kiu ya asiye na mpenzi
2. Kuongeza uzoefu na kuleta tija ya kungonoka na mpenzi wako
3. Kuongeza list ya vikojoleo ulivyowahi kunaniliu navyo....:lock1:
Ukipewa vitu adimu unaweza kupunguza tija nyumbani, wengine wamejikuta wakipoteza stimu kwa wake/wapenzi wao kwa sababu ya kutaka wahisi utamu wa anaye cheat naye.
 
Back
Top Bottom