Philotheo JF-Expert Member Joined Aug 17, 2024 Posts 402 Reaction score 461 Jul 8, 2025 #41 Tanganian said: Sio kweli Click to expand... Ukweli upoje mkuu?
Philotheo JF-Expert Member Joined Aug 17, 2024 Posts 402 Reaction score 461 Jul 8, 2025 #42 Mr. Tutor said: Wanasema sio rahisi sana Kama huna jina kubwa Click to expand... Aaah, sasa jina kubwa si kulitengeneza. Haswa wale waliosoma nje kama alibahatika kujichanganyachanganya na watu wa masuala ya tafiti anaweza kutusua, ila pia kujichanganya kwa wenye hizo fursa hapa nchini.
Mr. Tutor said: Wanasema sio rahisi sana Kama huna jina kubwa Click to expand... Aaah, sasa jina kubwa si kulitengeneza. Haswa wale waliosoma nje kama alibahatika kujichanganyachanganya na watu wa masuala ya tafiti anaweza kutusua, ila pia kujichanganya kwa wenye hizo fursa hapa nchini.
VanDon JF-Expert Member Joined Sep 24, 2013 Posts 418 Reaction score 699 Jul 11, 2025 #43 Mr. Tutor said: Tatizo Nini mkuu? Click to expand... Mfumo huenda ukawa tatizo!