Faida ya elimu Tanzania iko wapi?

Hivi mhadhiri wa chuo analipwa shingapi? Nasikia ni around 3million
 
Uho sasa ni wivu ingia na wewe chomboni watu wanaapa kujitoa mhanga maisha yao yameshikiliwa na nchi why asipate maslai mazuri
 
Na kazi yao ni kubonyeza triger tu
 
Sasa phd unataka posho kweli?? We pambn na research piga ela achana na posho ukiingia online platform za kufanya research zipo nyingi na wanalipwa in dollars nashangaa serikali yetu inazidi kutengeneza wasomi tegemezi ambao hawawezi kujiongeza nje ya mfumo.
 

Mtoa mada anahoja
Jamani yale makozi hasa yanayohusisha masomo haya manne (Phy/Chem/biol/maths) ni magumu sana.
waliopita huko watanielewa, watu wanakesha usiku kucha halafu, wale walio faulu vizuri ndio wanafanya hiyo kazi ya kufundisha/ Lecturer ukweli hao wakufunzi wa Vyuo vikubwa wanastahili Mishahara ya kueleweka au basi wawe na angalau house allowance, transport allowance, ya kueleweka.
Tunapo waacha wawazie au wakimbilie kwenye Siasa tunapoteza watu wazuri wa kutufundishia vijana
HivI; Yule prof mkali sana wa sheria kwa nini asitumike tu huko Chuoni akatunolea vijana badala ya hapo alipo ambapo sio hata fani yake? Naona kama tungenufaika zaidi, ni mtazamo wangu tu!
 
Watu wanafikiri ni utani lakini vyuoni Kuna brain drain kubwa. Watu wanachomoka mwisho wa siku tutabaki na Nini?
 
Sasa unataka watu wanaokulinda ww na la mari zako wasipewe Posho, hao malecturer unaowazungumzia wanafanya kazi ipi kubwa zaidi yakushika makalio ya wanafunzi wa kike kila sector na raha yake bhana....
 
Wanasema sio rahisi sana Kama huna jina kubwa
 
Hahaha tuwe wavumilivu tuliambiwa DP World wakianza kazi nchi itakuwa na mafuriko ya pesa, tuwape muda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…