Kuna Ngedere mmoja kasema akipata uongozi atawajengea magorofa wote na kuwapa Cruiser kila mmojaAskari wa kidato Cha nne ana posho ya usafiri, chakula, vinywaji na akiwa na elimu ya diploma au degree au fani nyingine nayo inalipwa posho.
badilisha kada kiongozi, kwani umefungiwa hapo?Askari wa kidato Cha nne ana posho ya usafiri, chakula, vinywaji na akiwa na elimu ya diploma au degree au fani nyingine nayo inalipwa posho.
Lakini Lecturer/Mhadhiri mwenye PH D Hana posho yeyote zaidi ya mshahara wake wa mwezi.
Labda apambane na research abahatike kuokota chochote.
Ndugu zangu mali tutaipata shambani. Ngoja nielekee Kibaigwa nikafyeke pori. Tuonane baada ya mavuno
Nenda ndurugumi au Manyata, Kibaigwa hakuna mapori...Askari wa kidato Cha nne ana posho ya usafiri, chakula, vinywaji na akiwa na elimu ya diploma au degree au fani nyingine nayo inalipwa posho.
Lakini Lecturer/Mhadhiri mwenye PH D Hana posho yeyote zaidi ya mshahara wake wa mwezi.
Labda apambane na research abahatike kuokota chochote.
Ndugu zangu mali tutaipata shambani. Ngoja nielekee Kibaigwa nikafyeke pori. Tuonane baada ya mavuno
Madokta wetu muda wote wanawaza uteuziUnaweza kuwa lecturer then ukautamani mshahara wa police !
Kwakuwa mmoja hajui hatima yake ni win or die Ila mwingine anaweza hata kufanya life Projection .
Usicheke mkuu huu ndio uhalisia.š¤£š¤£
Madokta Ila ukimuuliza ameandika machapisho mangapi unakuta hana chapisho hata mojaMadokta wetu muda wote wanawaza uteuzi
Ndurugumi ni pande zipi?Nenda ndurugumi au Manyata, Kibaigwa hakuna mapori...
Kuandika ni swala moja lakini kupata fund ya kutake off ndio mziki mwingineMadokta Ila ukimuuliza ameandika machapisho mangapi unakuta hana chapisho hata moja
Sasa elimu mwishoe ni kuandika machapisho tu basi ,tunataka impact za moja kwa moja ,wengine hawajui kusoma .Kuandika ni swala moja lakini kupata fund ya kutake off ndio mziki mwingine
Tatizo Nini mkuu?Au basi, lakini tatizo lipo wazi kabisa.
Impact inapatikana akifanya research na kupata results.Sasa elimu mwishoe ni kuandika machapisho tu basi ,tunataka impact za moja kwa moja ,wengine hawajui kusoma .
Mimi ni mkulima tu huku kilosabadilisha kada kiongozi, kwani umefungiwa hapo?
Sio Leo Wala keshoNi wajibu wa serikali kuboresha hili
Research zip zimeleta impact ,ebu badilikeni tusikie mmegundua kitu fulaniš¤£š¤£Impact inapatikana akifanya research na kupata results.
Sasa fund ya kufanya research ndio shida kubwa. Hivyo maandiko yanabaki bila kufanyiwa kazi