Faida ya chips mayai a.k.a Zege

faida kama zifuatazo

viazi__starchy
mayai__protein
mafuta__rapid (fatty)

lakini mbali na faida izo ni chakula chenye fravor nzuri sana yaani mfano ukilinganisha unapokula ugali na unapokula zege uwezi fananisha radha zake niayo tu

NB: wabongo wanapenda kujiaminisha vitu vya kijinga eti ni chakula cha like eti Mara ivi mara vile
Bila radha ya chumvi hanna utamu Wa chips mayai au kavu.
 
Kuna kitu unakitafuta wewe,ngoja nisubiri hao watu wa mikoni walianzishe ili niwasomeshe namba
 
Back
Top Bottom