Faida ya CCM kupitia chaguzi hizi ndogo ni hatari kwao kuliko ushindi wao!!

tikatika

JF-Expert Member
May 6, 2011
2,330
4,115
Sijui ni nani mshauri wa CCM kwa sasa juu ya siasa hii mpya ya kununua wapinzani na kutangaza uchaguz mpya.Yaani nianze kwa kusema mshauri wao anajichanganya sana tena sana.

Binafsi nimefanya tathimini na kugundua ni hasara kwa CCM kuliko upinzani. Yaan ni faida kwa upinzani hata kama ushindi watapata CCM. Sababu ni nyingi mnooo zinazo wapa upinzani faida kubwa katika chaguzi hizi ndogo.

Hebu fatilieni yaliojitokeza katika majimbo na hata kata za madiwani , ni wazi imekuwa ni faida kwa upinzani kuweka ushahid dhahiri CCM ilivyochokwa na kutokukubalika kwa wananchi.Pia imekua ni mlango mwingine uliofunguliwa kwa wapinzani kuutumia kutoa siasa zao. Yaani imekua kete muhimu ya kumwaga yale yaliyokuwa yamekusudiwa yazuiwe hadi 2020. Huwezi kukataza siasa had 2020 harafu unanunua wapinzani na kuitisha chaguz huku wale wale uliowalenga kuwaziba mdomo ukiwafungulia mlango mwingine. Ndio maana nasema mshauri wa magufuli anajichanganya!!

Tuwe wawaz na wakweli wote tuko dunian na hapa hapa tanzania. Yaan CCM wanatumia nguvu kubwa mnoo kupata wahudhuliaji katika mikutano yao huku upinzani wanajazana wenyewe bila kubebwa na mtu. Pasipo hata kubebwa bado upinzani umekuwa na wafuasi wengi huku CCM wakiwa wachache mnoo na wengi wao wakiwa wanachama. Kiukweli mmezidi kujianika mmechokwa.

Kingine, unaanzaje kufanya uchaguzi kama hapa mjini Dar pana kila aina ya watu wenye nyadhifa mbali mbali za kimataifa na kuwa rahisi kwao kupata picha halisi ya uongozi wako? Yaani wanaona kila kitu jinsi polisi wanavyowatesa wananchi huku ninyi mkijiita ni waungwana namba moja.
Naishia kwa kusema mmejichora mnoooo!!

Ni kweli mtashinda lakn mmewapa kete viongozi wa upinzani kwann hapo awali waligomea chaguzi ndogo na hata kwa maamuzi mengine watakayoyatoa siku za mbele kwa wananchi wataaminiwa asilimia zote!

Kiujumla mmejipambanua ninyi ni wahovyo kiwango cha juu sana kwa sasa.Na hilo hata wale waliokuwa hawayaamini maneno ya wapinzani sasa mmewapa kete wawaamini. Yaani mnaipeleka nchi shimoni na ikija kutoka huko ninyi mtasahaulika.

Yaani kwa ufupi faida kubwa waliopata wapinzani katika chaguzi hizi ndogo ni kuwaanika ninyi uchi jinsi mnavyotawala hovyo hovyo katika nchi yenye kufata democracy. Huku ninyi mkitumia udikteta. Nunueni mwingine mtoe nafasi ya kuwaanika maovu yenu mliokuwa mmekusudia kuyaficha hadi 2020.
 
Fact mkuu nishawaza xna hicho kitu. Mpaka nikapata shida kidogo kama wale wasomi waliojazana kwenye chama wanashindwa kukishauri hiki chama kinachojiita kikongwe huku kinanunua wapinzani kwa nguvu na wakati mwingne wanawatishia wapinzani kwamba hakitashirikiana nao hhaahahahhahhhha
 
Umeongea mengi sana ila unajichanganya tu.Watakapobaki wabunge 6 na madiwani 9 nchi nzima na ruzuku ikapungua mpaka milioni tatu na nusu ndo utajua anachopigania Mbowe kwa mgongo wa wadeki barabara na nyumbu wasiojitambua.Hivi kwenye hizi harakati za kisiasa na maandamano ya CDM umewahi kumuona Mtoto wa Mbowe, Lowassa, Prof Safari, Prof Baregu, na unajua wamesoma shule gani na wanaishi Maisha gani?..Endeleeni kutetea msiyojua.
 
Hao CCM wajifunze kilichokuwa kikitokea Zimbabwe ambapo Mugabe kwa muda mrefu alikuwa akiwatesa wapinzani na watu wake wa ZANU- PF wakawa wanafurahia

Lakini ulifika wakati kwa ushauri wa mkewe Grace akamuondoa kwenye nafasi ya Makamu wa Rais Mnangagwa ili ampe njia mkewe amrithi kwenye nafasi hiyo ya Urais, jambo ambalo likasababisha Mnangangwa akaikimbia nchi

Lakini hatimaye watu wake wa karibu wa Mugabe wakamgeuka Mugabe na kumwondoa madarakani, hilo ni funzo na hapa kwetu kuwa si kila mwanaccm anaunga mkono hizo hila zinazofanywa na CCM

Hatimaye hao hao CCM watamgeuka Mwenyekiti wao!
 
Umeongea mengi sana ila unajichanganya tu.Watakapobaki wabunge 6 na madiwani 9 nchi nzima na ruzuku ikapungua mpaka milioni tatu na nusu ndo utajua anachopigania Mbowe kwa mgongo wa wadeki barabara na nyumbu wasiojitambua.Hivi kwenye hizi harakati za kisiasa na maandamano ya CDM umewahi kumuona Mtoto wa Mbowe, Lowassa, Prof Safari, Prof Baregu, na unajua wamesoma shule gani na wanaishi Maisha gani?..Endeleeni kutetea msiyojua.
Dah, kweli watu tumetofautiana kuwaza, kufikiri na kuchangia, yaani tofauti kabisa.
 
Yaani nashindwa kuamini mtu kama Komred Kinana na Mzee Mangula wanaunga mkono huu ujinga.
Hao wote "wamefungwa" midomo na wakithubutu kuongea wataambiwa wanawashwawashwa!

Na wasichofahamu ni kuwa huyo "dictator uchwara" atakapoumaliza upinzani atawageukia wao CCM

Wajifunze kwa yaliyotokea Zimbabwe ambapo wakati ule Rais Mugabe anamtesa sana mpinzani mkuu wa nchi hiyo Morgan Tshangirai, wale wafuasi wa Mugabe walikuwa wakimshangilia sana, lakini hatimaye akawageukia wao na kumtimua Makamu wa Rais, Munangwagwa hadi akatorokea Afrika Kusini na baadaye Jeshi likaingilia kati na kumlazimisha Rais huyo kumlazimisha kujiuzulu
 
Umeongea mengi sana ila unajichanganya tu.Watakapobaki wabunge 6 na madiwani 9 nchi nzima na ruzuku ikapungua mpaka milioni tatu na nusu ndo utajua anachopigania Mbowe kwa mgongo wa wadeki barabara na nyumbu wasiojitambua.Hivi kwenye hizi harakati za kisiasa na maandamano ya CDM umewahi kumuona Mtoto wa Mbowe, Lowassa, Prof Safari, Prof Baregu, na unajua wamesoma shule gani na wanaishi Maisha gani?..Endeleeni kutetea msiyojua.
kwani hao viongozi wa chama cha majambazi watoto wao wanasoma wapi?makongo?
 
Mimi nakubaliana na mleta mada asilimia 100. Mosi chaguzi hizi zinaonesha jinsi gani serikali hii inavyodharau wapigakura ambao walichagua upinzani. Lakini pia chaguchaguzi hizi ambazo zimelazimishwa na sirikali hii ya awamu ya tano zinagharimu kodi za wavujajasho.
Ushauri wangu: Wapinzani chukueni hii fursa kuongea na wananchi na msisusie uchaguzi wowote kwani kufanya hivyo ni kama kususia shamba lako LA mahindi kwa ngedere.
 
Umeongea mengi sana ila unajichanganya tu.Watakapobaki wabunge 6 na madiwani 9 nchi nzima na ruzuku ikapungua mpaka milioni tatu na nusu ndo utajua anachopigania Mbowe kwa mgongo wa wadeki barabara na nyumbu wasiojitambua.Hivi kwenye hizi harakati za kisiasa na maandamano ya CDM umewahi kumuona Mtoto wa Mbowe, Lowassa, Prof Safari, Prof Baregu, na unajua wamesoma shule gani na wanaishi Maisha gani?..Endeleeni kutetea msiyojua.
Mwezetu unajadiri nini Mkuu!!, mboni kama umejitungia kitu tofauti na hiki alicholeta mtoa mada?
 
Sijui ni nani mshauri wa CCM kwa sasa juu ya siasa hii mpya ya kununua wapinzani na kutangaza uchaguz mpya.Yaani nianze kwa kusema mshauri wao anajichanganya sana tena sana.

Binafsi nimefanya tathimini na kugundua ni hasara kwa CCM kuliko upinzani. Yaan ni faida kwa upinzani hata kama ushindi watapata CCM. Sababu ni nyingi mnooo zinazo wapa upinzani faida kubwa katika chaguzi hizi ndogo.

Hebu fatilieni yaliojitokeza katika majimbo na hata kata za madiwani , ni wazi imekuwa ni faida kwa upinzani kuweka ushahid dhahiri CCM ilivyochokwa na kutokukubalika kwa wananchi.Pia imekua ni mlango mwingine uliofunguliwa kwa wapinzani kuutumia kutoa siasa zao. Yaani imekua kete muhimu ya kumwaga yale yaliyokuwa yamekusudiwa yazuiwe hadi 2020. Huwezi kukataza siasa had 2020 harafu unanunua wapinzani na kuitisha chaguz huku wale wale uliowalenga kuwaziba mdomo ukiwafungulia mlango mwingine. Ndio maana nasema mshauri wa magufuli anajichanganya!!

Tuwe wawaz na wakweli wote tuko dunian na hapa hapa tanzania. Yaan CCM wanatumia nguvu kubwa mnoo kupata wahudhuliaji katika mikutano yao huku upinzani wanajazana wenyewe bila kubebwa na mtu. Pasipo hata kubebwa bado upinzani umekuwa na wafuasi wengi huku CCM wakiwa wachache mnoo na wengi wao wakiwa wanachama. Kiukweli mmezidi kujianika mmechokwa.

Kingine, unaanzaje kufanya uchaguzi kama hapa mjini Dar pana kila aina ya watu wenye nyadhifa mbali mbali za kimataifa na kuwa rahisi kwao kupata picha halisi ya uongozi wako? Yaani wanaona kila kitu jinsi polisi wanavyowatesa wananchi huku ninyi mkijiita ni waungwana namba moja.
Naishia kwa kusema mmejichora mnoooo!!

Ni kweli mtashinda lakn mmewapa kete viongozi wa upinzani kwann hapo awali waligomea chaguzi ndogo na hata kwa maamuzi mengine watakayoyatoa siku za mbele kwa wananchi wataaminiwa asilimia zote!

Kiujumla mmejipambanua ninyi ni wahovyo kiwango cha juu sana kwa sasa.Na hilo hata wale waliokuwa hawayaamini maneno ya wapinzani sasa mmewapa kete wawaamini. Yaani mnaipeleka nchi shimoni na ikija kutoka huko ninyi mtasahaulika.

Yaani kwa ufupi faida kubwa waliopata wapinzani katika chaguzi hizi ndogo ni kuwaanika ninyi uchi jinsi mnavyotawala hovyo hovyo katika nchi yenye kufata democracy. Huku ninyi mkitumia udikteta. Nunueni mwingine mtoe nafasi ya kuwaanika maovu yenu mliokuwa mmekusudia kuyaficha hadi 2020.
Well said mkuu, CCM makini tuu ndo atakayeelewa ulichomaanisha , wachumia tumbo watakushambulia sababu ni wakati wao.
 
Umeongea mengi sana ila unajichanganya tu.Watakapobaki wabunge 6 na madiwani 9 nchi nzima na ruzuku ikapungua mpaka milioni tatu na nusu ndo utajua anachopigania Mbowe kwa mgongo wa wadeki barabara na nyumbu wasiojitambua.Hivi kwenye hizi harakati za kisiasa na maandamano ya CDM umewahi kumuona Mtoto wa Mbowe, Lowassa, Prof Safari, Prof Baregu, na unajua wamesoma shule gani na wanaishi Maisha gani?..Endeleeni kutetea msiyojua.
ndo umeandika nini sasa? hebu punguza hizo jazba halafu andika vizuri hata kama upo kazini.
 
Umeongea mengi sana ila unajichanganya tu.Watakapobaki wabunge 6 na madiwani 9 nchi nzima na ruzuku ikapungua mpaka milioni tatu na nusu ndo utajua anachopigania Mbowe kwa mgongo wa wadeki barabara na nyumbu wasiojitambua.Hivi kwenye hizi harakati za kisiasa na maandamano ya CDM umewahi kumuona Mtoto wa Mbowe, Lowassa, Prof Safari, Prof Baregu, na unajua wamesoma shule gani na wanaishi Maisha gani?..Endeleeni kutetea msiyojua.
Hata watoto wa ngosha, saa mia hatujawahi kuwaona kwenye Kampeni ila ndio wanakula mema ya nchi toka wamezaliwa hadi leo
 
Back
Top Bottom