Faida na soko la mende

Ndugu wanajukwaa naomba kwa wanaojua watupatie maelekezo ya uzalishaji na na soko mdudu mende.
Hongera sana kwa kuwa na utashi wa kutaka kufuga MENDE kama kilimo biashara ambacho kinakuwa kwa kasi hapa nchini Tanzania wakati huu wa teknolojia ya hali ya juu,na kwanza kabisa MENDE Ni mdudu ambaye anadharauliwa na mwanadamu ko kumfuga ya kupasa kuwa na moyo,kwa hapa Tanzania MENDE amekuwa na soko kubwa sana maana MENDE mmoja anauzwa 500/=ambaye anatakiwa kuwa na gramm 5,ko kama utabahatika kuweza kuzalisha zaidi ya MENDE 1,000/ ndani ya wiki mbili unaweza pata pesa ndefu Sana kama 500/=×1,000/=(5,00,000/=) ko umeona hiyo pesa ambayo unaweza kuzalisha kwa wiki mbili maana mpaka huyo MENDE awe na hizo gramm 5 lazima afugwe ndani ya wiki mbili kwa kupewa chakula Cha kutosha Kama vile maji Safi na salama,pumba,mayai n.k,na pia anaweza kufugwa kwenye box au eggs tray,na licha ya kuwa na faida kubwa sana ya kifedha kwa Sasa na pia inavirutubisho vya proteins vya kutosha ko ni bora kwa afya na kwa kuongeza nguvu za kiume na pia in our now day's wateja wakubwa wa MENDE hapa nchini Tanzania Ni WACHINA na inasemekana kwamba WACHINA wakiwa Tanzania wanapenda kula MENDE sana kuliko chakula chochote kile,na pia jambo la kufurahisha zaidi Ni kwamba MENDE wa kukaangwa kilo moja anauzwa mpaka 70,000/=
N•B:HAIRUHUSIWI KUFUGA AU KUKAMATA MENDE WA CHOONI AU KWENYE MANGUO AU MAKABATI MAANA NI KOSA KISHERIA NA PIA NI HATARI KWA AFYA.
 
Ww umeshafuga??
 
Heee!
 
Mkuu wewe unafuga nije nijifunze?
 
Duh hii dunia inaharibika kila section
Kuna siku milimuona Bill gates anakunywa mavi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom