hivi unaposema maji ya moto unamaanisha nini?
mimi naelewe ni maji ya uvuguvugu ambayo ni mazuri kwa afya
sasa kuna wengine wanakogea maji ya moto,, namaanisha yana joto la juuu sana,,haya yanaathiri ngozi,,
pia kama una wadudu wa malaria kwa mwili wako unatriga zile dalili za malaria,,
kuhusu kupunguza mbegu na nguvu za kiume hakuna uhalisia kama ni swala tu la kuoga,,, unanifurahisha
georgeallen
ina maana wewe utakua unakaa kwa sinki la maji moto kama unakanda mguu uloteguka au?
there must be significant temperature, and significant time of exposure muda wa kutosha kuharibu uzalishaji wa sperms,,, anyway lakini kwa mazingira ya dar, maji moto, labda siku kama leo ambayo hali ya hewa inaruhusu hata kunaniliuuuu