CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
wapendwa wakati mkichambua faida na hasara, elezeni pia na process za kupata huo uwakala
Kuupata Uwakala ni pesa yako tu pamoja na Legal documents i.e. TIN number na Business License....
initial capital ni kiasi gani?
Wadau mupooooo????
Msaada wenu ni muhimu kwangu!!!
Sijatumia max malipo or hiyo nyingine kwangu natumia selcom mtaji ni laki 5
Faida yake unaipata papo kwa papo mfano..
Unapouza luku unapata faida ya asilimia 3 kila ufanyapo muamala so ukiuza umeme wa 10000 kwenye balance yako yani float itaongezeka kwa asilimia tatu yani mia 3 kwa hiyo ukiuza umeme wa 100000 unapata 3000 na inaenda hvyo...kwa commision luku ndio ina aslimia kubwa na huduma nyingine zina asilmia chache zaidi mfano vocha ni 1.5 dstv 1 na nyinginezo....uzuri wa hii uwe sehemu kwenye mzunguko wa hela ambapo una hakika itaisha haraka na pia ni kivutio kizuri kama una biashara nyingine unafanya eneo hilo yani ni kama vocha na soda....
Conclusion.
Kwangu biashara ya vocha inalipa kuliko hizi machine ingawa ni vizuri ukawa unavyo vyote sambamba....
Nawasilisha ....
Mkuu, ukishanunua hyo mashine huwa unaenda tena vodacom, hewatel, tigo, tanesco, dstv n.k ili kuuza bidhaa zao au hawa selcom wanakuunganisha 1 kwa 1?Sijatumia max malipo or hiyo nyingine kwangu natumia selcom mtaji ni laki 5
Faida yake unaipata papo kwa papo mfano..
Unapouza luku unapata faida ya asilimia 3 kila ufanyapo muamala so ukiuza umeme wa 10000 kwenye balance yako yani float itaongezeka kwa asilimia tatu yani mia 3 kwa hiyo ukiuza umeme wa 100000 unapata 3000 na inaenda hvyo...kwa commision luku ndio ina aslimia kubwa na huduma nyingine zina asilmia chache zaidi mfano vocha ni 1.5 dstv 1 na nyinginezo....uzuri wa hii uwe sehemu kwenye mzunguko wa hela ambapo una hakika itaisha haraka na pia ni kivutio kizuri kama una biashara nyingine unafanya eneo hilo yani ni kama vocha na soda....
Conclusion.
Kwangu biashara ya vocha inalipa kuliko hizi machine ingawa ni vizuri ukawa unavyo vyote sambamba....
Nawasilisha ....
Habari za asubuhi waungwana,
Katika kupambana na adui umaskini, nafikiria kuwa wakala wa MAXMALIPO au BUTTONPAY.
Ni faida/hasara gani naweza kupata nikiwa wakala wa moja kati ya Kampuni hizo???
Natanguliza shukrani
Mkuu, ukishanunua hyo mashine huwa unaenda tena vodacom, hewatel, tigo, tanesco, dstv n.k ili kuuza bidhaa zao au hawa selcom wanakuunganisha 1 kwa 1?

Mimi nilifanya kwa kutumia mashine ya Selcom,kama alivyosema mdau hapo juu uitumie kama kivutio cha biashara nyingine na uwe sehem yenye mzunguko lasivyo faida yake utaona aibu hata kuiangalia,commission zao ni ndogo kiukweli,mi ilinishinda sahivi mashine ipo tu ndani.Hasara; Usipokuwa makini unaweza pata hasara sana tu,mfano ukikosea kuingiza namba ya simu wakati wa kurusha vocha ukamrushia mtu mwingine ndo imekula kwako.
[/COLOR]
Mkuu, hapo kwenye red vp namba akiingiza mteja mwenyewe ili akikosea ile kwake?
Asante santa dada charminglady kwa kuuleta huu uzi,
Lakini pia shukrani za dhati zimwendee Bwana stany mzalendo kwa majibu yake muruwa yaliyojitosheleza, ninataka kuanza biashara ya vyakula so hii itakuwa sapoti.
Asanteni pia wadau wengine aliochangia mawazo.
[/COLOR]
Mkuu, hapo kwenye red vp namba akiingiza mteja mwenyewe ili akikosea ile kwake?
Mkuu kwa maelekezo ya awali niliyopata ni kuwa katika kuingiza namba either za luku ama vocha huwa unatakiwa kuconfirm kama wafanyavyo mawakala wa mpesa, tigopesa n.k.
Issue ya mteja kupewa printer or whatever kujiingizia namba sidhani kama itapendeza....
Hivyo unatakiwa tu kuwa makini... Kila biashara ina risk zake.....