Asante mkuu kwa mada yako, ila mimi niko kati kwa kati najiamulia nikae kimya au niongee nikiamua kukaa kimya hata ufanyeje sikujibu na nikiamua kuongea utajuta kunifahamu na hata mke wangu anajua niko hivo sitabiriki,ila ukikutana namimi kwa mara ya kwanza utajua kwamba mimi ni mpole.