MarianaTrench
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 1,212
- 942
​Kula LIKE ya Nguvu. Umenena Jambo La Maana Sana UBARIKIWE SANA.
Katika ndoa kuna maudhi sana jaman unaweza kuwa mkinya ila MTU akatake that advantage ya kukunyanyasa pia unaweza kuwa mkinya lakin maudhi na kero za MTU utaongea tu tena bila kupenda ila kimya ni jibu zuri sana
Karibu.asante sana bestito
Kama huitaji kujifunza na kupata maalifa mapya we kaa kimya
Weka mtazamo wako wazi ili upate mawazo mapya yatakusaidia kuongeza uelewa wako mimi siamini katika kukaa kimya na kama ukitaka kufahamu kuwa unakosea au uko sahihi katika mtazamo wako usikae kimya
Asante mkuu kwa mada yako, ila mimi niko kati kwa kati najiamulia nikae kimya au niongee nikiamua kukaa kimya hata ufanyeje sikujibu na nikiamua kuongea utajuta kunifahamu na hata mke wangu anajua niko hivo sitabiriki,ila ukikutana namimi kwa mara ya kwanza utajua kwamba mimi ni mpole.
Mkuu mkikutana watu 2+ wote mkakaa kimya kuna la kujifunza?
Btw good point