Zamani tulita window shopping kabla ya kununia. siku hizi unafanya window shoing through google na kusoma review online za product husika . Utapata majibu ya maswali yako yote.
Google itakusaidia zaidi kufanya maamuzi sahihi. Mimi nitakupa ushauri mdogo kuwa kama unaishia Tanzania nunua iPad yenye both wifi na 3G. Hii itakusaidia sana sehemu ambazo hakuna wireless. Lakini bei ya wifi peke yake ni cheaper kuliko ambayo ina both wifi na 3G. Pia angalia matumizi yako kama unahitaji ipi maana ziko tatu. 16GB, 32GB na 64GB. Maelezo ya kina utayapata kwenye google kama alivyoshauri Mtazamaji.
Kama ni Apple dah yaani utafurahi na roho yako maana mimi ndio naitumia sasa hivi kama unakaa nje kidogo ya Dar usinunue inayotumia wifi peke yake coz nje ya Dar hakuna huduma ya wifi ya kulipia lakini ndio zinauzwa bei rahisi kuliko za 3g ambazo zinatumia laini ya simu tofauti nadhani ni dola 200 tu,so mi nakushauri ununue hiyo ya 3g maana spidi yake ni ya ajabu na utaipenda.